Je ni kweli jussa hana mke?

kwa mfano ujue kua ana mke itasaidia nini? ama hana inasaidia nini? uliza vitu vya msingi.

Sio fresh bhna, hili jukwaa ndio kazi yake hii, tusubir wanaomjua watupe ma news hot of him
 
tunataka kujua kama je ni kweli aliyosema bi asha bakar?
 
mngehoji hili kuhusu zitto kabwe ambaye hajaoa mngeambulia ban
 
Kwani kuoa kwake kunahusiana vipi na utendaji kazi wake?
Mbona kuna wabunge wengi tu ambao hawajaoa na kuolewa
Je utumishi wao unakwamishwa na kutokuoa na kuolewa kwao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…