Je ni kweli kabila hili hukuza maumbile ya siri za kiume kwa mmea huu?

Je ni kweli kabila hili hukuza maumbile ya siri za kiume kwa mmea huu?

Freed Freed

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2017
Posts
6,547
Reaction score
7,167
Halo JF mapenzi.

Nina rafiki yangu nesi amekuwa akiwafanyia tohara watu mbalimbali. Sasa juzi kati alitembelea eneo wanaloishi kabila kubwa humu nchini lenye asili ya kanda ya ziwa.

Anadai wanaume wa huko hata mtoto wa miaka 10 ana mashine sio mchezo!! Anadai huwa anaogopa hata kuyashika wakati wa kutahiri. Si unajua wanawake manesi tena? Anasema huwa anawauliza kulikoni?

Wanajibu wanatumia mmea jamii ya DODOKI ambayo haikatwi ikiwa kwenye mmea wake. Wanachofanya ni kuichanja uume kidogo na dodoki pia na kisha damu ya uume na maji ya dodoki kugusanishwa. Yaani damu kidogo huwekwa pale palipokatwa kwenye dodoki na hivyo hivyo kwa dodoki ule uteute huwekwa kwenye jeraha la uume.

Baada ya hapo hunenwa maneno fulani na kadiri dodoki linavyokuwa uume pia hukuwa na mwenye uume akiridhika dodoki hukatwa na mwanaume huyu hubaki na mashine mashalaaahh.

Nilimkatalia kwa sababu naona kama hicho kitu kiuhalisia hakiwezekani na hata kisayansi ya kibaolojia.

Je hii ni kweli kwa walioshi na wananzengo hawa?
 
Itakuwa mambo ya science ya jadi, science za kiafrica, mambo ya mauzauza, mazingaombwe, ushirikina, Uganga na uchawi, huko mambo yasiyowezekana huwa! Itakuwa kuna na mambo mengine ya kina zaidi yanafanyika.
 
Wewe ni 'me' au 'ke' mkuu?
Maana kuna utata, Kama ni 'me' inakuaje una ushoga/urafiki na jinsia tofauti! Mpaka mnaelezana Mambo ya ndani kabisa.
 
Itakuwa mambo ya science ya jadi, science za kiafrica, mambo ya mauzauza, mazingaombwe, ushirikina, Uganga na uchawi, huko mambo yasiyowezekana huwa! Itakuwa kuna na mambo mengine ya kina zaidi yanafanyika.
Nahisi hivyo
 
Back
Top Bottom