Je ni kweli kabila hili hukuza maumbile ya siri za kiume kwa mmea huu?

Wewe ni 'me' au 'ke' mkuu?
Maana kuna utata, Kama ni 'me' inakuaje una ushoga/urafiki na jinsia tofauti! Mpaka mnaelezana Mambo ya ndani kabisa.
we ni fala sana yaani hayo mazungumzo umeona ya ajabu sana. Kuna mademu wamepinda mnaweza piga story zote zilizopo duniani inategemeana na mmezoeana vp wala hakuna mambo ya ushoga unayoleta wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, kwenye ile ID yako nyingine ya kike ulijibu kistaarabu. Kwenye ID hii naona umejibu kwa uchungu.

Back
Top Bottom