Je, ni kweli kabisa Rais hafahamu chochote kuhusu haya ya utekeaji? Hiki ni kipimo kizuri

sawa mkuu.
 
huajfikiria vyema unaweza ukawa umewapa mwanya wa kupata taarifa ambazo hawatakiwi kuzipata!.. uhai wa huyohuyo mtanganyika unaweza ukaharibu uhai wa watanganyika!.
Kuna taarifa gan unamficha huyo unaye muogopa!

Mtu anaye kupa angalizo la matukio hatarishi yanayotajaria kutokea kwako hata kabla ya wewe muhusika kujua au kung'amua kihatarishi?

Kwani mnatumia computer gani,mlizo tengeneza au za hao mnao waogopa!

Thamini Uhai wa Mtanzania mwenzako.
 
Alikuwa anasema ni drama ,na akasisitiza hizi ni drama ,huenda nae anafanya drama pia
 
Rais ni taasisi kwavile ni taasisi................ tumia akili za kuvikia barabara kujaza hapo
 
Alikuwa anasema ni drama ,na akasisitiza hizi ni drama ,huenda nae anafanya drama pia
Sawa kabisa mkuu. Hata kwenye haya maandamano, lazima awepo upande wa wananchi.

Hakuna mwananchi mwenye akili timamu atakuwa anapenda haya yanayoendelea.

Kama kweli hafahamu haya yanayoendelea, basi NI LAZIMA awe upande wa wananchi.

Wananchi wakiandamana kwa amani bila kupigwa na watuhumiwa, hapo atakuwa yupo upande wa wa wananchi na hata maamuzi atakayoyafanya yataheshimika.

Rais akiwaachia polisi waendeleze mauwaji hata siku ya maandamano, basi yupo miongoni mwao hawa watesi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…