2015 nilijiandikishia Ilala kipindi cha kupiga kura nikawa hanang walinikatalia kabisa kupiga kura
Nadhani sikupewa maelekezo yote hayo kwakuwa walijua Mimi ni ngemharibia Jiwe.Ulipaswa kupewa fomu ujaze then upige kura moja ya Uraisi.
Ulipaswa kupewa fomu ujaze then upige kura moja ya Uraisi.
Kwamba Kura yako moja ingemharibia huyo unaemuita jiwe?ππ Kwakweli miaisha yamewapa stress sana.Sasa sijui itakuwaje tukiongeza na mingine mitano.Nadhani sikupewa maelekezo yote hayo kwakuwa walijua Mimi ni ngemharibia Jiwe
Nadhani sikupewa maelekezo yote hayo kwakuwa walijua Mimi ni ngemharibia Jiwe
Kupigia kura mahali usipojiandikisha kutatoa mwanya kwa CCM kuchomekea mamluki pamoja na kura za maruhani. Tuache hali iendelee hivyo hivyo ili kuwadhibiti hawa fisi.NEC watupatie elimu hii sawa sawa. Jee ni kweli kuwa bado nikiwa ndani ya Tanzania lakini nje ya kituo nilichojiandikisha siwezi kupiga kura ya Rais?
Kuhusu ubunge hiyo ni sawa, lakini kura ya Urais inashindikana nini wakati mataifa mengine wameweza hadi kupigia nje ya nchi?
Katika zama hizi za technolojia ya mawasiliano tunawezaje kunyima nafasi Raia ambao kwa sababu moja au nyingine hawapo mahali walipojiandikisha
Unatumia BVR kuandikisha wapiga kura kisha mtu hawezi kupiga kura kituo ambacho hajajiandikishia, huo sio upumbavu wa kiwango cha lami?Sasa utapigaje kura sehemu ambayo hujajuandikisha? Kila kituo kina orodha ya wapiga kura ...kwahiyo uwezi piga kura sehemu ambayo hakuna jina lako!
Hii inaondoa mwanya wa ninyi kusema mmeibiwa kura....!
Kwamba Kura yako moja ingemharibia huyo unaemuita jiwe?ππ Kwakweli miaisha yamewapa stress sana.Sasa sijui itakuwaje tukiongeza na mingine mitano.
Vijana jishughulisheni,hizi siasa haziatawasaidia chochote.Hebu fikiria mtu alieanza kuota ndoto Kama zako kuanzia multipartisim ianze mpaka Sasa atakuwa na umri gani? Hayo aliyoyaota kwa muda wote huo yametokea?
NB:Vijana mlioko kitaa,jobless acheni kuishi kwenye ndoto za wenzenu. Ulizeni waliofanikiwa katika mazingira Kama yenu walifanyeje.Huu ushabiki huwa ni wa kipindi kifupi sana.
Nadhani sikupewa maelekezo yote hayo kwakuwa walijua Mimi ni ngemharibia JiweUlipaswa kupewa fomu ujaze then upige kura moja ya Uraisi.
Form za nini?ππ Wewe hata TIN number huna.Acha kuwatafutia wenzako ulaji kisiasa,pambana kabla umri haujakutupa mkono.Nadhani sikupewa maelekezo yote hayo kwakuwa walijua Mimi ni ngemharibia Jiwe
Mimi na wewe nani jobless?
Nataka nijaze form za Forbes ndio next year tutaheshimiana
Vijana jishughulisheni,hizi siasa haziatawasaidia chochote.Hebu fikiria mtu alieanza kuota ndoto Kama zako kuanzia multipartisim ianze mpaka Sasa atakuwa na umri gani? Hayo aliyoyaota kwa muda wote huo yametokea?
NEC wanao uwezo wa kuhesabu kura zinazopigwa katika kituo chochote. Chadema ndio wanakataa utaratibu huo usitumike. Kwahiyo usiwalaumu NEC, walaumu Chadema.Unatumia BVR kuandikisha wapiga kura kisha mtu hawezi kupiga kura kituo ambacho hajajiandikishia, huo sio upumbavu wa kiwango cha lami?
Kulikuwa na sababu gani kutumia gharama kununua devices na software pamoja na kutrain watu wakati kiuhalisia tume ina operate manually?
Kuliko kufuja kodi zetu, wangetumia daftari za mia mbili kwenye vituo kuandikisha wapiga kura kisha hizo fedha tukaelekeza maeneo mengine.