Ettore Bugatti
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 4,123
- 8,242
Bado nitaendelea kusema kwamba NEC Ina 'visheria' fulani vya 'kijima'.Hivi ninyi Bavicha mbona vichwa maji? Hivi muulizeni Lissu wenu kwanini ana wambia mawakala wake lazima wawe na orodha ya wapiga kura wa kituo? Hii ina wasaidia ninyi msilie lie kuibiwa maana mtu awezi piga kura ambapo hajajiandikisha! Halafu lazima uwe kwenye orodha! Sasa kama mgeruhusiwa kupiga popote si mngelia zaidi na zaidi?
Tangu 1996 hakuna Reformation yoyote juu ya mabadiliko katika mfumo, Ni upuuzi tu na ukada umejaa pale.