Ettore Bugatti
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 4,123
- 8,242
Bado nitaendelea kusema kwamba NEC Ina 'visheria' fulani vya 'kijima'.Hivi ninyi Bavicha mbona vichwa maji? Hivi muulizeni Lissu wenu kwanini ana wambia mawakala wake lazima wawe na orodha ya wapiga kura wa kituo? Hii ina wasaidia ninyi msilie lie kuibiwa maana mtu awezi piga kura ambapo hajajiandikisha! Halafu lazima uwe kwenye orodha! Sasa kama mgeruhusiwa kupiga popote si mngelia zaidi na zaidi?
Ni kweli maisha yenyewe Ni siasa tosha. Ila wengi wenu ni mashabiki tu, na hamna chochote mnachoweza kufanya juu ya uelekeo wa kisiasa nchini. Kwamaana nyingine mnaishi kwenye ndoto za watu. Tokeni huko.Mkuu nadhani huelewi hata maana ya siasa ndio maana unabwatuka hivyo.
Mtu anayedhani anaweza kuwa na maisha nje ya siasa ni mtu ambaye bado hajajitambua kabisa. Siasa/Wanasiasa ndio wanaamua maisha yaende vipi.
Umewahi kuwaza kuwa hata uwe na mafanikio vipi, utajenga shule yako ili wanao wapate elimu? Utajenga hospitali ili utibiwe? Utajenga barabara ili usafiri?
Leo kuna watu walipambana kama unavyo shauri lakini kutokana na siasa mbovu, nyumba walizo jenga zimebomolewa hawana hata pa kuishi. Wengine wamefilisiwa mitaji yao kwa siasa mbovu.
Wengine wamekufa sababu ya siasa mbovu na pengine kwenye uhai wao walikuwa na fikra kama zako kuwa siasa haiwahusu hivyo hawakushiriki kuchagua viongozi wazuri wakawaachia watu wakawawekea watu wa hovyo.
Mkuu, Hilo ndo muhimu.Unatumia BVR kuandikisha wapiga kura kisha mtu hawezi kupiga kura kituo ambacho hajajiandikishia, huo sio upumbavu wa kiwango cha lami?
Kulikuwa na sababu gani kutumia gharama kununua devices na software pamoja na kutrain watu wakati kiuhalisia tume ina operate manually?
Kuliko kufuja kodi zetu, wangetumia daftari za mia mbili kwenye vituo kuandikisha wapiga kura kisha hizo fedha tukaelekeza maeneo mengine.
Unaweza kuweka uthibitisho hapa wa kuwa CDM ndio wanakataa?NEC wanao uwezo wa kuhesabu kura zinazopigwa katika kituo chochote. Chadema ndio wanakataa utaratibu huo usitumike. Kwahiyo usiwalaumu NEC, walaumu Chadema.
Wasingesikilizwa, mngelalamika kuwa kuna uchakachuaji!
Dah yaani acha tu, halafu yanakuja mataahira hapa kutetea upumbavu.Mkuu, Hilo ndo muhimu.
Yaani nashangaa hii nchi sijui ni ya kusadikika, NEC imetumia gharama kubwa kununua vifaa vya ,,'technology' kurahisisha michakato ya upigaji kura lakini Cha ajabu wanaogopa kutumia.
.. na hii Ni kwa sababu wanajua technology haidanganyi maana wameshazoea kuiba kura 'manually' .
Huyu ngumbari Ruttashobolwa anashindwa hata kuchanganua mambo.
Tatizo ni kufanya mambo kijima badala ya kutumia mifumo ya tehama .Sasa utapigaje kura sehemu ambayo hujajuandikisha? Kila kituo kina orodha ya wapiga kura, kwahiyo uwezi piga kura sehemu ambayo hakuna jina lako!
Hii inaondoa mwanya wa ninyi kusema mmeibiwa kura!
Ni kweli maisha yenyewe Ni siasa tosha. Ila wengi wenu ni mashabiki tu, na hamna chochote mnachoweza kufanya juu ya uelekeo wa kisiasa nchini. Kwamaana nyingine mnaishi kwenye ndoto za watu. Tokeni huko.
Aliekudanganya kuwa wanaoicontrol siasa ni lazima wawe bungeni ni nani?Unaposema mashabiki tu, unamaanisha nini?
Kwa hiyo ulitaka wote tuwe 'wachezaji'? Yaani wote tuingie bungeni tuwe wabunge ndio uone tunaweza kubadili uelekeo wa siasa? Au ulitaka wote tuwe maraisi ili uone tunabadili uelekeo wa siasa?
Tumia muda kujifunza elimu ya uraia itakusaidia ili ujue wajibu na nafasi yako kwenye SIASA, UCHUMI NA JAMII.
Hivyo vitu vitatu huwezi vitenganisha, vinafanya kazi kwa mahusiano makubwa sana. Wataalamu wanaviita 'SIAMESE TWINS' (Mapacha walioungana).
Labda wewe ndio umeelewa hivyo, siasa ni jambo mtambuka na hivyo haliwezi kuwa controlled na bunge peke yake, wapo wadau wengine wa siasa mbali na hao wanaofanya active politics ambao ni wengi zaidi.Aliekudanganya kuwa wanaoicontrol siasa ni lazima wawe bungeni ni nani?
Naam, hilo ndio lilikuwa swala langu la msingi hapa. Mambo in electronic iweje tufanye utekelezaji manually?Unatumia BVR kuandikisha wapiga kura kisha mtu hawezi kupiga kura kituo ambacho hajajiandikishia, huo sio upumbavu wa kiwango cha lami?
Kulikuwa na sababu gani kutumia gharama kununua devices na software pamoja na kutrain watu wakati kiuhalisia tume ina operate manually?
Kuliko kufuja kodi zetu, wangetumia daftari za mia mbili kwenye vituo kuandikisha wapiga kura kisha hizo fedha tukaelekeza maeneo mengine.
Sasa utapigaje kura sehemu ambayo hujajuandikisha? Kila kituo kina orodha ya wapiga kura, kwahiyo uwezi piga kura sehemu ambayo hakuna jina lako!
Hii inaondoa mwanya wa ninyi kusema mmeibiwa kura!
Sio swala la kutopewa maelekezo ni swala la wewe kuwa mjing mjinga ndio maana vitu vidogo kama hivi hadi leo hamvijui halafu mnawadanganya watu mtashinda uchaguzi hahahaha! Wajinga kama ninyi wako wengi sana humu wanashangilia tuu lakini hawajui kama hawewezi kupiga kura popote.
NEC haiwezi kufuata kila kitu kinachosemwa na vyama lakini NEC ni wasikivu, wanajitahidi kadri iwezekanavyo kusikiliza maoni ya wadau. Ndio maana wamesikiliza maoni ya Chadema kuhusu vituo vya kupiga kura.Unaweza kuweka uthibitisho hapa wa kuwa CDM ndio wanakataa?
Ni mambo mangapi CDM wanayakataa kwenye muundo wa NEC na namna ya utendaji wake na hayajawahi kurekebishwa?
Tume inaongozwa na sheria japo nyingi hazifuatwi na NEC yenyewe sio maoni ya chama fulani.
Kwa hiyo leo CDM wakisema kura zihesabiwe hadharani NEC watafuata?
Acha nikupuuze tu, maana naona unahisi hili jukwaa la vilaza uwalishe mashudu yako.NEC haiwezi kufuata kila kitu kinachosemwa na vyama lakini NEC ni wasikivu, wanajitahidi kadri iwezekanavyo kusikiliza maoni ya wadau. Ndio maana wamesikiliza maoni ya Chadema kuhusu vituo vya kupiga kura.
π π π π π π POINT TUPU.Unatumia BVR kuandikisha wapiga kura kisha mtu hawezi kupiga kura kituo ambacho hajajiandikishia, huo sio upumbavu wa kiwango cha lami?
Kulikuwa na sababu gani kutumia gharama kununua devices na software pamoja na kutrain watu wakati kiuhalisia tume ina operate manually?
Kuliko kufuja kodi zetu, wangetumia daftari za mia mbili kwenye vituo kuandikisha wapiga kura kisha hizo fedha tukaelekeza maeneo mengine.