Je, ni kweli kanisa la friiichachi limemtoa kafara Katibu wake ili Sasa lianze kujaa waumini?

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Kuna tetesi kwamba Kuna mtu kafa, na alikuwa Katibu wa kanisa Hilo,habari zinasema alikuwa anakula vya madhabahuni, palepale katika lango la kanisa anapopitia mchungaji.

Habari zinasema ni makafara makubwa yanayotokana na masharti ya waganga wa naijeria na afrika magharibi ili kanisa like na lijae Malaki ya watu. Siku za nyuma, kanisa Hilo lilikuwa na idadi ya watu ambao hata coastal haijai.

Ila Katibu jamani, unakandamiza kabisa palepale anapokandamiza mchungaji!!!!! Hiiii, mama mchungaji naye anatoa shoo Kali mpaka jamaa kachanganyikiwa!

Hapa ni wachunguzi wenye macho Saba ndio watajua may be hii sio issue ya suicide, au ni suicide, wachunguzi watatuambia
 
Mwanaume umbea haukupendezi.
 
Ila watanzania kwa kuchafua watu hatujambo ila ukweli utajulikana tu

Kwan hata ss hkn aliyesalama

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…