Hana lolote. Makuu mengi kumbe anakandamiziwa.Pastor anasemaje
🤣Mchungaji yuko majaribuni
Kuna sehemu alikua haigusi.Mchungaji yuko majaribuni
A.K.A maendeleo mchomoko!!Kafara ni muhimu kwa maendeleo ya chapchap.
Kama angekua anatoa hii ngoma Leo ungemsikia " nikioa niite mbwa nipo pale"#MwanaFAutaoalini
Wacha nikapige show ya kibabe hadi hii wiki akiniona akimbieHana lolote. Makuu mengi kumbe anakandamiziwa.
Wanawake hawataki ustaarabu, kanyagia umkune kila sehemu.
Hizi komedi wanawake wanaona utoto tu.
Nipe siri ya shabokas,esp mwanaume huwa nna mashaka nae sanaMimi ninawashangaa tu wanaosali hapo.
Ni kama vile ninavyowashangaa wanaoenda kwa Shaboka's na wenzake.