Mwananchi wa chini
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 227
- 599
Juzi nimekutana na kijana ambaye ametoa mahari (anataka kufunga ndoa) siku si nyingi akiniambia ametoka kwenye mafunzo ya ndoa katika kanisa la rc.
Cha kushangaza kijana huyu kaniambia kanisa limebadili utaratibu wa mafunzo ya ndoa kuwa kwa sasa ni Mwaka mmoja yaani kila mwezi mnaenda mara mbili na sababu kubwa ni kutokana na kuwa SUALA LA NDOA nyingi kuvunjika huku sababu mojawapo ikiwa ni kuwa wenzi hawa hawajapata muda wa kutosha wa kufahamiana pia kupata mafunzo ya kiroho.
WANA MMU Je hizi sababu zaweza kuwa kweli.?