SI KWELI Je, ni kweli kidole cha pete kina mshipa maalumu unaounganisha na moyo?

SI KWELI Je, ni kweli kidole cha pete kina mshipa maalumu unaounganisha na moyo?

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Kutokana na mazoea yaliyopo duniani ni kwamba watu walio kwenye mahusiano kama Ndoa na Uchumba, Pete huvaa mkono wa kushoto.

Je, kwanini pete zisivaliwe mkono wa kulia badala ya mkono wa kushoto?
Screenshot_20260727-110012.png
 
Tunachokijua
Katika baadhi ya Jamii huvaa pete ye ndoa katika mkono wa kushoto kidole cha nne. Historia inarudi nyuma hadi kipindi cha Misri ya kale ambapo ndipo utamaduni huo ulipoanzia.

Utamaduni huo uiibuka kutokana na imani kwamba kidole cha nne cha mkono wa kushoto kina mshipa maalumu unaokwenda moja kwa moja kwenye moyo (Vena Amoris) na kuaminika kuwa kuvaa pete kwenye kidole hicho ni ishara ya mapenzi.

Lakini hapo baadaye baada ya tafiti kuendelea ilibainika kuwa madai hayo si ya kweli kwani hakuna mshipa huo kwenye mwili wa binadamu. Pia vidole vyote vina mishipa sawa na hakuna mshipa maalumu unaofanya shughuli hiyo ukiwa na jina hilo.
Iko ndio kidole pekee kinacho peleka damu kwenye MOYO
Ishara ya upendo na kukuweka moyoni.......
 
Back
Top Bottom