Babe la mji JF-Expert Member Joined Dec 14, 2019 Posts 983 Reaction score 2,058 Dec 16, 2019 #1 Wakuu amani iwe nanyi. Hii ni mada ya swali, Kumekuwa na mawazo mbalimbali kuhusiana na Jambo hili. Je wadau mna maoni gani kuhusiana na jambo hili? Ni kweli au ni uongo? Je utafiti wa wabobezi katika Mambo ya fedha unasemaje? Wachumi je, Bank of Tanzania (BoT) na World Bank (WB) wao wanasemaje kuhusu hilo jambo hili? Na mimi badae nitatoa maoni yangu na uzoefu wangu mdogo nilopata katika biashara. Hii mada naamini itatusaidia ivo tuchangie kwa mawazo ya kujenga. Natanguliza shukrani, karibuni sana. Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu amani iwe nanyi. Hii ni mada ya swali, Kumekuwa na mawazo mbalimbali kuhusiana na Jambo hili. Je wadau mna maoni gani kuhusiana na jambo hili? Ni kweli au ni uongo? Je utafiti wa wabobezi katika Mambo ya fedha unasemaje? Wachumi je, Bank of Tanzania (BoT) na World Bank (WB) wao wanasemaje kuhusu hilo jambo hili? Na mimi badae nitatoa maoni yangu na uzoefu wangu mdogo nilopata katika biashara. Hii mada naamini itatusaidia ivo tuchangie kwa mawazo ya kujenga. Natanguliza shukrani, karibuni sana. Sent using Jamii Forums mobile app
leloic JF-Expert Member Joined Apr 6, 2013 Posts 1,006 Reaction score 2,720 Dec 16, 2019 #2 Si kweli Sent using Jamii Forums mobile app
Smith Rowe JF-Expert Member Joined Sep 18, 2018 Posts 4,319 Reaction score 9,003 Dec 16, 2019 #3 Naamini sio wote Sent using Jamii Forums mobile app
P Patroman JF-Expert Member Joined Nov 12, 2018 Posts 809 Reaction score 1,222 Dec 16, 2019 #4 Kila mtu anaweza kufanya biashara....kikubwa ni dhamira.
OllaChuga Oc JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 21,569 Reaction score 24,812 Dec 16, 2019 #5 Jibu ni hapana. Sent using Jamii Forums mobile app