Je ni kweli kila mtu anaweza kufanya biashara?

Je ni kweli kila mtu anaweza kufanya biashara?

Babe la mji

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2019
Posts
983
Reaction score
2,058
Wakuu amani iwe nanyi. Hii ni mada ya swali,

Kumekuwa na mawazo mbalimbali kuhusiana na Jambo hili.

Je wadau mna maoni gani kuhusiana na jambo hili? Ni kweli au ni uongo? Je utafiti wa wabobezi katika Mambo ya fedha unasemaje?

Wachumi je, Bank of Tanzania (BoT) na World Bank (WB) wao wanasemaje kuhusu hilo jambo hili?

Na mimi badae nitatoa maoni yangu na uzoefu wangu mdogo nilopata katika biashara.

Hii mada naamini itatusaidia ivo tuchangie kwa mawazo ya kujenga. Natanguliza shukrani, karibuni sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila mtu anaweza kufanya biashara....kikubwa ni dhamira.
 
Back
Top Bottom