Je, ni kweli Kiswahili hakiko Romantic?

Je, ni kweli Kiswahili hakiko Romantic?

Asante sana sio Thank you.
What a surprise sio Mbona mshangao.

Ni kweli, Kiswahili hakipo kimahaba.... hata kunako 6*6 zile miguno (screams) za kiswahili ni hazina mzuka.
Hata miguno..!!?😂😂😂
 
Ukitaka kuutafuta "uromantic" wa kiswahili kwa tamaduni au Swags za kigeni hautaweza kuuona.

Nenda kasikilize nyimbo,.. Lau nafasi, Rangi ya Chungwa, Njiwa na jaribu kutafuta mashairi ya Shaabaan Robert na Andanenga yale ya mapenzi unaweza ukajifunza kuwa romantic kwa kiswahili.
Usilazimishe iwe kama kwa kizungu


Alexander The Great
 
Hamna lugha naonaga iko romantic kama Kireno japo sielewagi wanaongea nini ila hua nikisikia madem wa kibrazil wanaongea hua nahisi kusisimka
 
Ile sentesi ya chemistry iliyotafsiriwa kiswahili sijui inasema "favenso ikigongana kongo kongo.." mwenye nayo aiweke hapa.
Nataka nijue kwa kingereza inasomwaje
 
Nilikua na field flani Tanga...
Nilikaa Handeni then nikaenda Pangani...

Kiswahili kitamu kinazumgzwa huko.

Lafudhi yao ni RP. Received Pronunciation

Wanaongea Vizuri... Si wadada au wakaka.
 
Kuna Mdau wangu natamani Mtag....
 
Nawaza kwanini P square waliita "beatiful onyinye" swali langu haswa ni kwanini nyimbo hii ambayo ililenga kimataifa na mrembo anayesifiwa humo ni "onyinye"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawaza jinsi aslay na nandy walivyopasua anga na nyimbo ya subalkheri ambayo ni maalumu kwa wapendanao ambayo imetumia kiswahili safi kabisa ..nadhani neno pekee la kingereza nalolisikia muleni baby pekee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kweli, kama sio mtu wa kucheza na maneno huwezi kutumia Kiswahili kwenye romantic lakini mm aah natumia Kiswahili na nasound vzr siku zote.
 
Kiswahili hakipo romantic ikiwa mmoja katoka government mwingine private, ila wote mmetoka tandale na mwalimu wa somo lakigeni alikufa ndio mnaingia shuleni mbna mambo n romantic
 
Back
Top Bottom