Technophilic Pool
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 2,597
- 3,965
Kwa wasiofahamu washiraz ni jamii ya ya watu huko iran kama kabila hivi.
Achana na washirazi wa hapo unguja na mafia naongelea washiraz original.
Hawa wanaweza kua ni kabila lililokua na mchanganyiko wa wairan hao wa zamani ndipo wakajiita washiraz
Sasa twende basi, unakumbuka chama cha Afro shiraz? Basi maana yake ni Africa + shirazi.
Je hii ni kweli au ni tuhuma nimeikuta mtandao wa twitter mdau akielezea vita ya waarabu na wairan.
Inasemekana Wairan hawakutaka Mwarabu amiliki visiwa hivo au awe na influence