Technophilic Pool
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 2,597
- 3,965
Zanzibar kulikuwa na vyama kulingana na rangi.African Association,Shirz Association, Arb Association na Indian Association.Ilipoundwa ZNP baad ya vita ya ng'ombe 1957,Afican Association ikaungana na African Assoc. wakaunda ASP.Kwa wasiofahamu washiraz ni jamii ya ya watu huko iran kama kabila hivi.
Achana na washirazi wa hapo unguja na mafia naongelea washiraz original.
Hawa wanaweza kua ni kabila lililokua na mchanganyiko wa wairan hao wa zamani ndipo wakajiita washiraz
Sasa twende basi, unakumbuka chama cha Afro shiraz? Basi maana yake ni Africa + shirazi.
Je hii ni kweli au ni tuhuma nimeikuta mtandao wa twitter mdau akielezea vita ya waarabu na wairan.
Inasemekana Wairan hawakutaka Mwarabu amiliki visiwa hivo au awe na influence
vita ya ng’ombe ndo ikoje mkuuZanzibar kulikuwa na vyama kulingana na rangi.African Association,Shirz Association, Arb Association na Indian Association.Ilipoundwa ZNP baad ya vita ya ng'ombe 1957,Afican Association ikaungana na African Assoc. wakaunda ASP.
Washiraz unaowaona hapa east afrika originally ni kutoka Iran na walikuja huku baada ya kutokea vita huko kwao. Na wapo zaid hapo MombasaKwa wasiofahamu washiraz ni jamii ya ya watu huko iran kama kabila hivi.
Achana na washirazi wa hapo unguja na mafia naongelea washiraz original.
Hawa wanaweza kua ni kabila lililokua na mchanganyiko wa wairan hao wa zamani ndipo wakajiita washiraz
Sasa twende basi, unakumbuka chama cha Afro shiraz? Basi maana yake ni Africa + shirazi.
Je hii ni kweli au ni tuhuma nimeikuta mtandao wa twitter mdau akielezea vita ya waarabu na wairan.
Inasemekana Wairan hawakutaka Mwarabu amiliki visiwa hivo au awe na influence
Wakati wa mapinduzi zbar, waziri mkuu alikua mohammed shamte,mweusi tii,ndiye kiongozi mkuu wa serikali,hapakua na mwarabu wa kumpinduaHII Kitu nimeiona mwana Twitter mmoja akielezea huko x
Wairan wapo hapa tangu karne ya tisa au kabla,walianzisha dola ya kiislam na bendera yakeWashiraz unaowaona hapa east afrika originally ni kutoka Iran na walikuja huku baada ya kutokea vita huko kwao. Na wapo zaid hapo Mombasa
Tulia mkuu andika vizuri. Twende sasa tunasubiriZanzibar kulikuwa na vyama kulingana na rangi.African Association,Shirz Association, Arb Association na Indian Association.Ilipoundwa ZNP baad ya vita ya ng'ombe 1957,Afican Association ikaungana na African Assoc. wakaunda ASP.
Ni kweli na kwao walitoka baada ya kushindwa vita. Niliwah kwenda kwenye kituo cha historia yao wapo hapa tangu 1200 huko kwa niliyosoma na walikuwa wanakuja vikundi vidogo vidogo.Wairan wapo hapa tangu karne ya tisa au kabla,walianzisha dola ya kiislam na bendera yake
Ni kabla ya hapo,umemuona mshirazi huyo!?Ni kweli na kwao walitoka baada ya kushindwa vita. Niliwah kwenda kwenye kituo cha historia yao wapo hapa tangu 1200 huko kwa niliyosoma na walikuwa wanakuja vikundi vidogo vidogo.
nchi nzima ilikaliwa na waarabu wengine ndo wanasema kilichowapea hasiraWakati wa mapinduzi zbar, waziri mkuu alikua mohammed shamte,mweusi tii,ndiye kiongozi mkuu wa serikali,hapakua na mwarabu wa kumpindua
Uwongonchi nzima ilikaliwa na waarabu wengine ndo wanasema kilichowapea hasira
Kwahyo mapinduz ya znz walifanya akina nani mkuu?Wakati wa mapinduzi zbar, waziri mkuu alikua mohammed shamte,mweusi tii,ndiye kiongozi mkuu wa serikali,hapakua na mwarabu wa kumpindua
Okello,wanyasa na wakata mkonge wa tangaKwahyo mapinduz ya znz walifanya akina nani mkuu?
Vita ya ng'ombe ulikuwa ni harakati ya wafugaji kupinga amri ya mkoloni juu ya destocking Znzibar.vita ya ng’ombe ndo ikoje mkuu
Hii nilikua siijui kabisaVita ya ng'ombe ulikuwa ni harakati ya wafugaji kupinga amri ya mkoloni juu ya destocking Znzibar.
Naskia okello aliingia mwishoni tu kutangaza chiefOkello,wanyasa na wakata mkonge wa tanga
Okello alikuwepo akifyatua matiofaliNaskia okello aliingia mwishoni tu kutangaza chief
Ila alikuwa hajuw kiini cha mapinduzi yan mchongo mzima ukoje yeye alikuwa hajuw.Okello alikuwepo akifyatua matiofali