XII Tz
JF-Expert Member
- Aug 16, 2020
- 4,345
- 7,076
Habari wakuu,
Husika na kichwa hapo juu, kuna mwana upande mmoja wa kichwa chake slightly umebonyea kuanzia katikati ya kichwa mpaka kwenye komwe.
Je, ni kweli hii husababishwa na kulazwa upande mmoja pindi unapokua bado kichanga? Na je, kuna njia yoyote inayoweza kutumika kurudisha shape ya mwanzo?
NB: Ni katika kutaka kujifunza tu hivyo inaweza kuonekana kama ni uzi usio na mashiko ila mwenye kufahamu pia atatujuza
NAWASILISHA