Neema j swai
Senior Member
- Mar 27, 2017
- 177
- 103
Me kutokana na maelezo yang na mda uliopta nlipewa hzo dawa ingia kweny internet uandke revivo capsules usome maelekezo yakeMnhuu siku 10 si ni kabla ya masaa 72 kupita?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Me kutokana na maelezo yang na mda uliopta nlipewa hzo dawa ingia kweny internet uandke revivo capsules usome maelekezo yakeMnhuu siku 10 si ni kabla ya masaa 72 kupita?
Mwez mzma ni vdonge 30 na Bdo hazjaisha znaisha tar 12 mwez huu ila mm zilipta cku 10 toka nijikate na wembe ndonikaanza kutumia hz dawa
Mm nliambiwa hii revivo kaz yake ni kubust immune system yan inaenda kuongeza kinga ya mwili xo kama virus viliingia mwilin vikienda kukutana na hyo Dawa vinafubazwa vinakufa haviwez kuendelea kuzaliana tenaMnhuu siku 10 si ni kabla ya masaa 72 kupita?
We baki hvyo hvyo kusema ni uongoWewe ni muongo sana,
Halafu kama ni Neema J swai ninayemjua mm du basi umetish
OK kwa maana ya kwamba hata ukipima baada ya kumaliza dozi unakuwa HIV negative ?Mm nliambiwa hii revivo kaz yake ni kubust immune system yan inaenda kuongeza kinga ya mwili xo kama virus viliingia mwilin vikienda kukutana na hyo Dawa vinafubazwa vinakufa haviwez kuendelea kuzaliana tena
Alaf ndugu yang kikubwa zaid muamin Mungu kuwa ni Mungu acyeshindwa na lolote kama aliweza kumfufua Lazaro hata ww utakuwa mzima mungu wetu ni Mungu acyelala wala kusinzia amin hata hyo cku unajichoma na hyo cndano alikuwa macho kukulindaMnhuu siku 10 si ni kabla ya masaa 72 kupita?
Ndyo kama una iman mm mbona nameza na Nina amin Mungu yupo nlikuwa na mawazo sana kipnd nmejikata ila baada ya kumuomba Mungu nina Aman na kuna roho inanishuhudia kuwa mm ni mzma ctokuwa na maambukz hapa namalzia Dawa tar 12 nikapmeOK kwa maana ya kwamba hata ukipima baada ya kumaliza dozi unakuwa HIV negative ?
Hizi dawa shughuli yake pevu sana kichefuchefu masaa 24 namaliza dozi tarehe 20 mwezi huu, zinanichosha sanaNdyo kama una iman mm mbona nameza na Nina amin Mungu yupo nlikuwa na mawazo sana kipnd nmejikata ila baada ya kumuomba Mungu nina Aman na kuna roho inanishuhudia kuwa mm ni mzma ctokuwa na maambukz hapa namalzia Dawa tar 12 nikapme
We unameza zipHizi dawa shughuli yake pevu sana kichefuchefu masaa 24 namaliza dozi tarehe 20 mwezi huu, zinanichosha sana
Yes indeed.Ni baada ya kujichoma na sindano ambayo ina damu ya mtu mwenye HIV, tunaambiwa ukiwahi hospitalini na kupewa dawa kabla ya masaa 72 virus wanasambaratishwa na hupati HIV.
Je ni kweli? Msaada wenu wajuzi.
Pole sanaVidonge v3 ,kimoja 1x2 kingine mara 1 usiku tu
Kama haikuwa na damu hapo hamna cha ukimwi wala nn coz virus vinaishi kweny unyevu kama damu ilikauka viruc vimeshakufa na huwa kwanza haviishi nje ya mwili wa binadamu huwa ni sekunde 5 vinakufaHapana
Niliambiwa hivyo ila wakaona wanipe dawa tu Kwa uhakika zaidiKama haikuwa na damu hapo hamna cha ukimwi wala nn coz virus vinaishi kweny unyevu kama damu ilikauka viruc vimeshakufa na huwa kwanza haviishi nje ya mwili wa binadamu huwa ni sekunde 5 vinakufa
Zinanipa tu uchovu alaf nameza tu coz mdada mwenyew ambaye ni mgonjwa alietumia huo wembe anasema hakujikata nao kpnd anajinyoa na istoshe ukimwi unaambukizwa kwa njia ya mapenz tu hv vifaa wametuambia tu kwa taadhari ili tusishee coz vingekuwa vinaambukiza tungekufa weng we jiulze mtu ananyolewa saloon anakatwa na mashne akmalza ananyolewa mwingne hapo hapo na mashne hyo hyo c wangekuwa karbia dunia nzima tuna ukimwi, mashulen watoto wanashare wembe kuchonga pensel wanajikata so cyo rahc ukimwi had ugusanishe kidonda kwa kidondaVipi hizo revival capsules hazina karaha ya kichefuchefu na mwili kuuma?