Je ni kweli kuna dawa ya kuzuia VVU visikuathiri ndani ya masaa 72 ya maambukizi?

Dah mmenikumbusha nilienda kuoga nikajikata Na wembe ambao ulikuwa bafuni kuna mdada alitoka nyoa alafu sasa dada anabalaa sio kwa kugawa kule bumunda kama pipi aseh niliteseka Na mawazo balaaa kumbe hisia zangu tu nimekaa kama six month nawaza tu Yan nimepima juzi juzi apa fresh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dawa ndiyo biashara ya pili kwa faida baada ya unga kwa hiyo kutokana na uhakika wa biashara lazima kuwe na kitengo cha masoko ambacho pia kitazalisha magonjwa ambayo baadaye yanakuja kuleta soko baadaye.
Zipo njia nyingi za wazungu kutengeneza masoko ni kupitia kilimo, magonjwa, bidhaa za mtumba zivaliwazo bila kufuliwa, Vifaa chakavu vitokavyo ulaya kama kompyuta na magari huwekewa mionzi ambayo ni direct effective kwa binadamu that's why rate ya kansa afrika kwa sasa iko juu sana.
Ushauri tu ni kwamba usiishi kwa kucomplicate sana maisha kula vitu vya asili sana kuliko vya kusindikwa na kutopenda kutumia ac za magari kwa muda mrefu sana, kulima mbegu za asili za mazao yetu kama zamani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…