Pac the Don
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 6,170
- 7,710
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je, kuna uhalisia? Wewe kama ww ukiangalia!Tatizo wanadamu wengi hatupendi ku-take responsibility kwa maamuzi yetu - tunaishia kuwatwika wengine.
Je kuna uhalisia? Wewe kama ww ukiangalia!
Kwa maana hiyo hayo makundi ni handwork ya Magufuli? Hivi Samia anajisahaulisha kuwa na yeye alikuwa sehemu ya awamu ya tano? Huyu kazi imeshamshinda.
Seems like that, ngoja wajuzi wa code waje!!Kwa maana hiyo hayo makundi ni handwork ya Magufuli?
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Maybe ndo kastukia huo mchongo!Hakuna uhalisia wowote ni kujaribu kukwepa majukumu yako. Wewe kama ndo kiongozi mkuu wa serikali, Rais, amri jeshi mkuu, mwenyekiti wa CCM taifa unashindwa je kusambaratisha hayo makundi kama unayafaham yapo?
Si mlikuwa mnamuhujumu Jiwe mkiwa mawaziri mpaka akawatumbua,mmesahau Nape?
Avunje baraza la mawaziri halafu ataliunda kutokea wapi ambapo wabunge wote wako bungeni kwa nguvu ya mtu mwingine ambaye hayupo kwa sasa?Mimi namshauri mheshimiwa raisi avunje baraza la mawaziri!
Hii itamsaidia kujenga himaya yake na lawama zitaisha.
Nape alimhujum kvp mpaka akatumbuliwa?Si mlikuwa mnamuhujumu Jiwe mkiwa mawaziri mpaka akawatumbua,mmesahau Nape?
Apandacho mtu ndicho atavuna.