Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 13,332
- 7,351
Hivi unaposema kisayansi hakuna majini unakuwa na maana gani hasa?Kisayansi hakuna majini kiimani yapo so inategemea na wwe upo kwenye mtazamo upi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi unaposema kisayansi hakuna majini unakuwa na maana gani hasa?Kisayansi hakuna majini kiimani yapo so inategemea na wwe upo kwenye mtazamo upi
Sayansi ni matokeo ya vitu vinavyoonekana Imani visivyoonekanaHivi unaposema kisayansi hakuna majini unakuwa na maana gani hasa?
Kwa tafsiri hiyo unaweza kusema hata kisayansi hakuna sauti maana haionekani.Sayansi ni matokeo ya vitu vinavyoonekana Imani visivyoonekana