Je, ni kweli kuna utofauti ya ukomo wa madaraja ya TGTS kwa Walimu wa Shahada na Stashahada?

mbwede

Member
Joined
Aug 30, 2015
Posts
7
Reaction score
10
Naomba kufafanuliwa na nielewe juu ya swala hili. maana wengine wanasema shahada yeye anafika mpaka bar ( mwisho) stashahada anaishia daraja H na astashahada anaishia daraja G? je kuna ukweli hapo?
 
Sasa s ndo ukweli huo mkuu au unataka ukweli Gani haya ukweli n huu

Certificate anaishia daraja G

Diploma anaishia daraja H

Degree anaishia daraja I ambalo ndo la mwisho
 
nashukuru mkuu nilikuwa nataka kupata uhakika thanks
 
Ukomo ni kustaafu kwako...
Unaweza fikia mwisho lakini bado ukawa na miaka ya kufundisha .. utapanda tuu
 
Naomba kufafanuliwa na nielewe juu ya swala hili. maana wengine wanasema shahada yeye anafika mpaka bar ( mwisho) stashahada anaishia daraja H na astashahada anaishia daraja G? je kuna ukweli hapo?
Ishu ni umri wa kustaafu tu mkuu ndo ukomo wako kinyume na hapo utapanda tuu
 
So certificate itafikia hadi I? Uongo
Kama umri unaruhusu atafika tu
Ebu imagine degree umeajiriwa una mika 39 mwalimu
Crrtifiate kaajiriwa miaka 19 hivi mpaka afike mika 60 hiyo I unadhani hatofika?
Hapo kigezo ukomo wa kusistaafu tu
Anyway sina evidence kama kuna maafisa utumishi hapa watakuja kutatua kitendawili

Ila kujiendeleza muhimu mkuu,usiridhike kuwa na certificate au diploma tuu
 
Wew n mtumishi wa serikalini ?

Na kama n mtumishi hadi leo hujui kuwa madaraja Yana ukomo ikifka I kitakacho fuata n increment tu like I2, I4 au upate chance upelekwe kwenye mataasisi uombewe mshahara special
 
sidhani kama umeelewa mada kiongozi jaribu kupitia toka mwanzo,hatuongelei ukomo wa madaraja in general
Mdau anauliza kuhusu mwenye level ya certificate na diploma na degree,ukomo wa madaraja ukoje kwa level za elimu ndo maana iliyopo

Nadhani ni vizuri ukamjibu na kumuelekeza mleta mada na si unitag na kunipa maelezo mimi
Ahsante
 
Ukomo ni kustaafu kwako...
Unaweza fikia mwisho lakini bado ukawa na miaka ya kufundisha .. utapanda tuu

Nina wasiwasi kama katiba ya Kenya umeisoma.

Ishu ni umri wa kustaafu tu mkuu ndo ukomo wako kinyume na hapo utapanda tuu

Kama umri unaruhusu atafika tu
Ebu imagine degree umeajiriwa una mika 39 mwalimu
Crrtifiate kaajiriwa miaka 19 hivi mpaka afike mika 60 hiyo I unadhani hatofika?
Hapo kigezo ukomo wa kusistaafu tu
Anyway sina evidence kama kuna maafisa utumishi hapa watakuja kutatua kitendawili

Ila kujiendeleza muhimu mkuu,usiridhike kuwa na certificate au diploma tuu
Ukomo upo ndugu zangu
Hata ufanye kazi miaka 100000 ila
1. Ukiwa na Certificate Utaishia G, na ili kuendelea kupanda LAZIMA UKAONGEZE ELIMU
2. Ukiwa Diploma unaishia H, na ili kuendelea kupanda LAZIMA UKAONGEZE ELIMU
3. Bachelor utaishia I
Ila ukijiongeza ukapata masters na PhD ndio utakuwa mkuu wa idara au unahamishiwa kwengine na kuombewa mshahara maalumu.

#YNWA
 
Asante kwa ufafanuzi umeeleweka vyema mkuu
 
Ukomo upo ndugu zangu
Hata ufanye kazi miaka 100000 ila
1. Ukiwa na Certificate Utaishia G, na ili kuendelea kupanda LAZIMA UKAONGEZE ELIMU
2. Ukiwa Diploma unaishia H, na ili kuendelea kupanda LAZIMA UKAONGEZE ELIMU
3. Bachelor utaishia I
Ila ukijiongeza ukapata masters na PhD ndio utakuwa mkuu wa idara au unahamishiwa kwengine na kuombewa mshahara maalumu.

#YNWA
hapo nimeelewa saaana .thanks
 
Ipo hivi ila watu wabiiishi.
Uzi umefungwa
 
Back
Top Bottom