Je, ni kweli kuna utofauti ya ukomo wa madaraja ya TGTS kwa Walimu wa Shahada na Stashahada?

Je, ni kweli kuna utofauti ya ukomo wa madaraja ya TGTS kwa Walimu wa Shahada na Stashahada?

Haya wataalam naona wapo wengi na huenda Kuna wanachubgulia jikoni,Kuna walimu tunatakiwa kupanda daraja July lkn eti mfumo unaendea taratibu,tusaidie huko
 
Kama umri unaruhusu atafika tu
Ebu imagine degree umeajiriwa una mika 39 mwalimu
Crrtifiate kaajiriwa miaka 19 hivi mpaka afike mika 60 hiyo I unadhani hatofika?
Hapo kigezo ukomo wa kusistaafu tu
Anyway sina evidence kama kuna maafisa utumishi hapa watakuja kutatua kitendawili

Ila kujiendeleza muhimu mkuu,usiridhike kuwa na certificate au diploma tuu
Wewe ni mtumishi wa umma hasa mwalimu, unaeleza kutokana na uzoefu au utaalamu? ,Kiufupi Kwa kada ya ualimu Kuna ukomo na miongozo ipo wazi, wewe kama una elimu ya astashahada ukomo wako utakuwa daraja G hata kama utafikia daraja hilo ukiwa na miaka 35,miaka iliyobaki yaani 25 utafaidika na annual increments tu na si daraja Hadi ukajiendeleze

Vivyo hivyo Kwa madaraja mengine,jiepushe kuelezea kitu kinachohitaji jibu la kitaalamu Kwa kutoa jibu lisilo la kitaalamu.
 
Sawa ndugu mwalimu ilieleweka siku nyingi naona umefukua kaburi
 
Ukomo upo ndugu zangu
Hata ufanye kazi miaka 100000 ila
1. Ukiwa na Certificate Utaishia G, na ili kuendelea kupanda LAZIMA UKAONGEZE ELIMU
2. Ukiwa Diploma unaishia H, na ili kuendelea kupanda LAZIMA UKAONGEZE ELIMU
3. Bachelor utaishia I
Ila ukijiongeza ukapata masters na PhD ndio utakuwa mkuu wa idara au unahamishiwa kwengine na kuombewa mshahara maalumu.

#YNWA
Mwenzako alishafafanua hapa kipindi hicho
 
Back
Top Bottom