Je, ni kweli kuna utofauti ya ukomo wa madaraja ya TGTS kwa Walimu wa Shahada na Stashahada?

Haya wataalam naona wapo wengi na huenda Kuna wanachubgulia jikoni,Kuna walimu tunatakiwa kupanda daraja July lkn eti mfumo unaendea taratibu,tusaidie huko
 
Wewe ni mtumishi wa umma hasa mwalimu, unaeleza kutokana na uzoefu au utaalamu? ,Kiufupi Kwa kada ya ualimu Kuna ukomo na miongozo ipo wazi, wewe kama una elimu ya astashahada ukomo wako utakuwa daraja G hata kama utafikia daraja hilo ukiwa na miaka 35,miaka iliyobaki yaani 25 utafaidika na annual increments tu na si daraja Hadi ukajiendeleze

Vivyo hivyo Kwa madaraja mengine,jiepushe kuelezea kitu kinachohitaji jibu la kitaalamu Kwa kutoa jibu lisilo la kitaalamu.
 
Sawa ndugu mwalimu ilieleweka siku nyingi naona umefukua kaburi
 
Mwenzako alishafafanua hapa kipindi hicho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…