Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,324
- 5,933
Asalaam, Bwana asifiwe...
Niende kwenye mada inayonichanganya saana hasa kipindi hiki. Nahitaji shughuda wa KWELI kutoka dini zote atakae zungumza ukweli pasipo uoga wa nafsi yake katika imani yake...
Ni hivi je ni kweli kuna uwezo wa kiimani (dini) unaoweza kumbadilisha mtu tabia (addiction) aliyokua nayo ama kumsumbua mda mrefu
Mfano;
1. Mpiga nyeto (CHAPUTA) kufanikiwa kuacha nyeto kwakuombewa ama kujiombea aka pona??? Tujibu uhalisia na si kwa kutetea dini ama imani (realistic)
2. Uasherati; ni kweli uma..la...ya unaweza kuachwa kwakuombewa tuu
3. Ushoga... kuna yale yanayodai yamezaliwa na homoni za kike na wale waliojitakia kwa tamaa zao ama mazingira.
4. Sigara/madawa ya kulevye wengi tunaona mateja mpaka wanakufa.
5. Roho mbaya, choyo, fitina na majungu huyu mtu anaweza akapona kweli haya matatizo??
Hizi ni baadhi ya tabia zinazo trend saana duniani na hasi ziki wakumba wale waliokokoa ama waswahilina wale wenye kuswali saana na kuonekana wanadini kuliko wengine...
Watu hawa hujishudia walikua hivo lakini walipokutana na mungu walibadilika kabisa wakaachana na hayo mambo, wakati wengiwao wamegeuka kufanya hayo wanaotangazs wameacha kwa siri kuubwa wakati mwingi....
Je, hio nguvu (kumbadilisha mtu tabia ya uraimu) wanayoishughudia ipo kweli??
Ni kweli imani (dini) inaweza mtoa mtu kwenye uraibu wa tabia chafu?? Ni nani anaweza hata kujishuhudia alibadilika 100% na hajawahi tena kuifanya ile dhambi yake??? karibu tushare experience