Je? ni kweli kuna wanawake wanaenda Gym kutafuta wanaume

Je? ni kweli kuna wanawake wanaenda Gym kutafuta wanaume

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
wakuu
=======
Kuna watu wanasema kuna baadhi ya wanawake wanaenda GMY kutafuta wanaume kwa mfano huu mfano wa DJ sinyorita kun ukweli kwenye hiyo kauli?
 
Kama wanaenda mahotelini na wanajilipia kwa lengo hilohilo basi gym ni kitu gani..?
 
Wanaume wanatafutwa popote iwe gym, church, masjid, au hata misibani
 
Nikiwa kama muhdhuriaji mzuri,
Naweza kusema ndio, ila sio wote.

Ila sawa umeshatujua waenda gym, ila sina kifua kama cha konde boy
 
Back
Top Bottom