Mke wako Ana umri gani? Kama ni zaidi ya miaka 50, inawezekana ni menopause kwa maana nyingine Ana upungufu wa hormone zinazoitwa estrogen, ameshawahi kufanyiwa operation? au Ana msongo wa mawazo? Vp physical activities? Stress za kazi au matatizo ya kifedha,una mawasiliano mazuri na mkeo? Asa unapokuwa unataka kufanya nae tendo la ndoa! au ukifika tu unataka mzigo bila romance?, hakuna usaliti ktk ndoa Kati yenu? labda umekuwa upigi mzigo vizuri kuna mtu anadandia ambaye ni fundi!, umewahi kucheki Kama Ana magonjwa Kama, kisukari, magonjwa ya moyo au neurological disease? Vp physical image yake? Ni mnene sana! Nafikiri yafanyie kazi hayo utapata jibu, kila la kheri.