lalikajr
Member
- Jul 10, 2013
- 62
- 13
Mpenzi wangu kwa sasa amekuwa mvivu sana katika suala la ndoa pia huchoka mapema sana na kuwa hoi baada ya tendo. nmejaribu kuomba ushauri kutoka kwa wataalamu mbalimbali baadhi wakasema kuwa anaweza akawa amepungukiwa nguvu za kike. je hili linaweza kutokea hata kwa mwanamke? msaada wenu tafadhari.