Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Hili ni jiji la Mwanza watu wa dodoma hebu mtwambie huo ujasiri mliutoa wapi ama thread ifungwe
 
hivi dodoma nao mji jaman au we mshkaji umeamua tu kuanzisha ligi? kweli ndungu yangu kama una akili timamu dodoma ya kuifananisha na Mwanza? nisiongee sana nawaza nikakufuru.....maana binafs sijawahi mskia mtu akiwa na matamanio ya kuijua dodoma zaidi zaidi wengi wanatamani kuijua Dar, Mwanza na Arusha.
 
Mkuu ni suala la muda maana Dodoma inakuja kwa kasi ya 5G huku Mwanza inachechemea
aliyekuwa anaifanya dodoma ikue ndio amesha pass sasa kwaiyo dodoma itarudi kama zaman? ndio jini pekee linaloongoza kwa ugonjwa wa macho na watu wake kuombaomba! dodoma oyeeeeee
 
mkuu morogoro umefika kweli manake mji haupo pale msamvu bali unashuka chini kule
morogoro hamna mji pale...moro hata kwenye top 10 ya mikoa bomba tanzania hapa haipo, moro ni uchafu mtupu kama lindi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…