Dpresident tz
JF-Expert Member
- Aug 22, 2020
- 300
- 350
Eti wanauliza wapi Magorofa 🤣🤣
Dom HQ 🔥 🔥 👇 👇
View: https://www.instagram.com/p/DHG26UGtQKH/?img_index=14&igsh=Y3lxOWVteHViaXR1View attachment 3270150View attachment 3270151View attachment 3270152View attachment 3270153
Shida yako unaulimbukeni wa vigorofa mwanza kuna ujenzi kila siku unaendelea lakini uwezi kuona tunaangaika kama wewe mfano kuna chuo cha DIT,Makao makuu ya TBS kinda ya ziwa,kuna Mwanza university kinajengwa bandari zote mbili south port na north port,masoko ya kimataifa kirumba na mkuyuni , Sekotoire hospital ,kamanga hospital,Mwanza collage yote haya ni magorofa kuhusu private company ndo usiseme.Mwanza hivi ni vitu vya kawaida.