Hizo pisi zinamejaa juu kama madume, sauti nzito kama mabeberu, hizo pisi za mbeya ukiwa nazo ni kama upo na sunk fallacy.Mbeya ni nyakato kubwa kibaya zaidi mbeya hakuna pisi [emoji1]
Mbona pakavu hivyo duh... Ukame kama jangwa la kalahari.
Visit malorca.. visit mwanza [emoji116][emoji91]
[emoji3][emoji3][emoji3]Hizo pisi zinamejaa juu kama madume, sauti nzito kama mabeberu, hizo pisi za mbeya ukiwa nazo ni kama upo na sunk fallacy.
Ujaliona soko kuu la Job Ndugai?Hivi dodoma itawachukua miaka mingapi kupata project kama hizi ..japo mlijitutukua na ndugai market lakin imebaki kama kumbi la popo
Only in mwanza [emoji116].. ujenzi unaendelea..
Central market [emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 2489215View attachment 2489216
Kwa Dom hii,Mwanza mtaomboleza sana 🔥🔥View attachment 2492315View attachment 2492316
Story za kufikilikaBugando Heart Institute
Construction of a Cardiac Institute (+ Cath lab):
BMC is currently expanding its medical care in a number of super specialitiesincluding Cardiothoracic Surgery and Cardiology, due to the growing burden of heart diseases in the region. This has been associated with high mortality and morbidities due to lack of advanced and accessible cardiovascular services in this region.
The number of patients with heart diseases has been on increase at BMC, overriding the available resources, thus calling for a need to expand the cardiovascular services.
It is also now estimated 30-40% of patients attended at Jakaya Kikwete Cardiac Institute (JKCI) in Dar es Salaam, are from this zone. In 2017, among Paediatric patients with heart disease at BMC, 17% of them required surgery and were referred to JKCI. Majority of them could not afford to pay for transport, accommodation and surgical costs.
Thus, BMC in collaboration with Mwanza Regional Commissioner (Hon.John Mongella) and the Ministry of Health, Community Development, Gender, Elderly and Children has developed a proposal for development of Bugando Cardiac Institute in Mwanza to meet the increasing demand of this superspecialized Heart Service in this region.
Currently the sketch of the building (16 floors, twins, see below) has been completed. The construction of building is expected to cost 59billion.
Hii ni sketch ya ptoject ya Bugando Cardiac Institute! It will be great project and proud to Mwanza! Mwanza lazima ukubali tu kuwa it is self developing region na hakuna mbeleko ya serkali kama Dododma na subiri majengo ya wizara yaishe ndo utajua kuwa Dodoma si lolote!
Haya baki unaamini hivo! Wewe mwenyewe unajua kabisa kuwa hakuna hata gorofa moja kubwa hapo Dodoma ya mtu binafsi inajengwa tofauti na Mwanza ambapo project nyinyi sana zipo na ni za private sector!Story za kufikilika
Sawa hamnaHaya baki unaamini hivo! Wewe mwenyewe unajua kabisa kuwa hakuna hata gorofa moja kubwa hapo Dodoma ya mtu binafsi inajengwa tofauti na Mwanza ambapo project nyinyi sana zipo na ni za private sector!
We kwa ndoto zako za kulinganisha Mwanza na huo utopolo wenu wa Mbeya uache kabisa kuanzia leo! Zoom hapo uone uzuri wa mji na hapo hakuna hata Gorofa moja ya wizara!View attachment 2492388
Roho inauama ee? Watu wa mwanza hawapendi makelele kama nyinyi wa Mbeya! Mbeya bado sana safari yake!Sawa hamna
Lakini ata Mwanza wanajenga viaduct ya 1.5km, itakuwa ni zaidi ya hili daraja ulilopost, alafu sasa kuna bonge la surprise la mega mall complex, najua usipokufa kwa wivu mwaka huu labda utakuwa chiz.Kwa Dom hii,Mwanza mtaomboleza sana 🔥🔥View attachment 2492315View attachment 2492316
Kwa kweli lazima tukimbie Soo Kwa London nayoiona hapo [emoji16][emoji16]
Na BadoKwa kweli lazima tukimbie Soo Kwa London nayoiona hapo [emoji16][emoji16]
Tunaomba more photos za hii project na pia utuambie ni lini inaanza kujengwaBugando Heart Institute
Construction of a Cardiac Institute (+ Cath lab):
BMC is currently expanding its medical care in a number of super specialitiesincluding Cardiothoracic Surgery and Cardiology, due to the growing burden of heart diseases in the region. This has been associated with high mortality and morbidities due to lack of advanced and accessible cardiovascular services in this region.
The number of patients with heart diseases has been on increase at BMC, overriding the available resources, thus calling for a need to expand the cardiovascular services.
It is also now estimated 30-40% of patients attended at Jakaya Kikwete Cardiac Institute (JKCI) in Dar es Salaam, are from this zone. In 2017, among Paediatric patients with heart disease at BMC, 17% of them required surgery and were referred to JKCI. Majority of them could not afford to pay for transport, accommodation and surgical costs.
Thus, BMC in collaboration with Mwanza Regional Commissioner (Hon.John Mongella) and the Ministry of Health, Community Development, Gender, Elderly and Children has developed a proposal for development of Bugando Cardiac Institute in Mwanza to meet the increasing demand of this superspecialized Heart Service in this region.
Currently the sketch of the building (16 floors, twins, see below) has been completed. The construction of building is expected to cost 59billion.
Hii ni sketch ya ptoject ya Bugando Cardiac Institute! It will be great project and proud to Mwanza! Mwanza lazima ukubali tu kuwa it is self developing region na hakuna mbeleko ya serkali kama Dododma na subiri majengo ya wizara yaishe ndo utajua kuwa Dodoma si lolote!
Hakika dodoma inakuja kwa kasi.