Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Hapa wanaparuka kama hawapaoni vile wazee wa uvuvini
sasa ww unaongelea mapato ya ndani dodoma kuna vyanzo gani vya mapato wewe kuizid mwanza? hamlimi, hamfugi, hakuna viwanda vya kuizid mwanza, hamvui, hamchimbi madini, hakuna usafir wa majini lama ilivyo mwanza meli zinasafir uganda , burundi nk , uwanja wa ndege haufanyikazi kama mwanza airport yaan uko mzunguko wa pesa unategemea wafanyakazi tu lakin hakuna hata mzunguko...huwezi fananisha kibiashara mwanza na dodoma...ukweli mnaujua wagogo sema mnataka tu comment zionekane nyingi kwenye post yako
 
Ndio unavyojifariji sio? Kisasa kule,nzunguni ,Mtumba ,Mkonze huko umeona kuna nyumba za.serikali tuu?
 
Kwamba hujaona viwanda hapo? Ok tufanye hizo nyumba za serikali wataishi kina nani humo? Unadhani zinagawiwa bure? Watanunua watu wenye pesa,ndio maana hazikujengwa Mwanza hakuna mtu atanunua hamna pesa.
Mwanza hatujazoe kujengewa nyumba [emoji23], hebu niambie mtu anaetoa pesa yake kujenga nyumba ya aina yoyote anayoitaka yeye na mahali popote anapopataka na mtu anayejengewa (Kota) na serikali Tena anakuwa analipa kwa awamu hivi ni nani Kati ya hao wawili ana pesa?
 
Nani kakudanganya kwamba hivyo ulivyotaja havipo Dom? Ndio maana mnapigwa,we Kwa taarifa yako unadhani mapato yanatoka wapi?

Dom ina biashara zote unazozijua wewe
 
haahaahaa sasa we jamaa ujue unafurahisha sana sasa viwanda vitano ndio viwanda? hujiskii hata aibu jiji lina viwanda vitano?
 
Kwamba mwanza hakuna mineral refinery plants[emoji23][emoji23] dah can you imagine mwanza inamiliki plants Bora zaidi za usafishaji na uchenjuaji wa madini in the whole East Africa sasa ukija kwenye viwanda duh huko ndo hatarii....kuna igoma industrial area, nyakato industrial area, buhongwa industrial area na igogo industrial area na hapo kuna uchafu wa maviwanda yani ni mengiiii mno
 
Kuna vitu vingine sijui ni utoto!! Ilianza Arusha vs Mwanza, saa hii imekuja Dodoma vs Mwanza!!

Iko hivi, kila mji una mazuri na mapungufu yake!! But the facts will remain the same

[emoji117]Mwanza is the second largest city in tanzania after DSM kwa kuzingatia ya fuatayo:-

*Idadi ya watu
*kutanuka kwa mji
*Kuchangia pato la taifa

Ieleweke nikweli miji mingine nayo inakua ila mwanza ilisha kuwa nahaijawai simama inaendelea kukua!!

Nafikiri jambo moja linaitesa mwanza ni barabara!! Ila after DSM either you like it or not MWANZA is second!
 
Kwamba hii mitaa hapa chini imejengwa na Serikali sio?😁😁









 
ila dodoma kweli mnatia sana aibu aisee...duh! kabla sijaja mwanza uku nilikuwa pale dodoma town nafanyakazi, baadae kidogonikahamishiwa wilaya ya bahi kwa hakika maisha niliyoyaona wilayani pale yaliniskitisha sana....mgogo ni mtu maskini sana kwakweli ...yaan pale bahi vijumba vingi sana ni vya tope halafu juu mwamefunika na majani, wale waliobahatika kuweka bati bakuna kenchi kwakuwa vijumba ni vya tope halafu wameweka bati zile bati wakaziwekea matofali juu ili zisieziliwe na upepe ...niliumia sana kuona yale maisha sababu kwa tanzania ya leo sidhani kama kuna wilaya zenye mfumo ule wa maisha
 

Hivi unamtupia mgogo furushi la lawama ambazo hazimuhusu, unafikiri kwa nature ya mazingira ya mikoa ya kanda ya kati, chauvivu kama wewe unaweza survive,

Eti unamuhurumia mtu ambaye licha ya kuishi mahali ambapo maji na uoto nichallenge ila ananyumba ya bati kuhusu kenchi wewe unaweza chana mbuyu upate mbao au unaropoka tujue ulikuwa bahi afu hiyo bahi pia ishaendelea hivi sasa usidhani nikama enzi hizo,

Kuliko kumuhurumia mgogo mwenye nyumba ya kudumu na anakula nakuishi kwanini usianze na wasukuma ndugu zako wanaolala kwenye mitembe na kula michembe kupooza njaa.
 
And vise versa is true, Dodoma inaibeba sana Mwanza kulinganishwa nayo kitu ambacho Mwanza haistahili hata ukucha kupata sifa hizo.
Wewe ndo umeleta uzi wa kulinganisha jiji la Mwanza na kijiji cha Dodoma huoni kuwa wewe ndo unatafuta umaarufu?
Siku zote mdogo akianza kumchokoza mkubwa jua kabisa anatafuta umaarufu.
Na vile Dodoma ilikuwa haizunguzwi sana ukaona ulete uzi angalau watu waioneone na waiongelee wasije isahau.
 
Dodoma ambako wana njaa ya kutupa mpaka wanashindia ubuyu ulinganishe na Mwanza ambapo mazao yote yanastawi na michembe ni chakula cha asili wala sio shida kuwa nayo.
Ukame wa Dodoma ni janga ukipita njia ya Iringa ni aibu kwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…