sasa ww unaongelea mapato ya ndani dodoma kuna vyanzo gani vya mapato wewe kuizid mwanza? hamlimi, hamfugi, hakuna viwanda vya kuizid mwanza, hamvui, hamchimbi madini, hakuna usafir wa majini lama ilivyo mwanza meli zinasafir uganda , burundi nk , uwanja wa ndege haufanyikazi kama mwanza airport yaan uko mzunguko wa pesa unategemea wafanyakazi tu lakin hakuna hata mzunguko...huwezi fananisha kibiashara mwanza na dodoma...ukweli mnaujua wagogo sema mnataka tu comment zionekane nyingi kwenye post yako