Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Mkuu Undava king, hawa ndugu wa Mwanza nadhani hawaelewi. Dodoma sasa sio size yao, uzuri wa Dodoma ni kwamba wana eneo kubwa la wazi na lipo katikati ya Jiji. Maadamu yule aliyekuwa anajenga miji hii miwili (Mwanza na Dodoma ) kwa pamoja hayupo basi uelewe kuwa Mwanza sasa ni ya kujikongoja kama miji mingine. Tambua kuwa wakati Mwanza inajengwa, jamaa aliipa miji mingine kisogo, na kweli ustawi wa miji ya Arusha na Moshi ulikuwa ya kususua..
Ni kweli kwa maana hata daraja la busisi ni project iliyokuwa ijengwe miaka ya baadae huko mbele baada ya demand kuwa kubwa lakini mwenda zake alifosi tu kuwainua wana Mwanza kwa lazima.
 
Mkuu mpaka hapa tulipofia wewe humuoni Hayati katika kuujenga mji wa Mwanza, si ndio? Mwanza haliwezi kuwa jiji la kwanza TZ, na linaingia mara mbili kwa ulinganifu na wilaya ya Kinondoni.
Ebu tupishe...nishakuzuia assumption.facts speak louder than nonsense...
JPM kajenga dar na dodoma huku mwanza kagusa tu ....
Mpaka mwaka 2016 dodoma ilikuwa na jengo Moja tu zuri na refu ..LAPF house ghorofa 10 ...baada ya JPM kuja ,, dodoma majengo yakaanza kuonekana Tena ni government financed ,,,Kuna dodoma city hotel ghorofa 11,psssf ghorofa 11,...vibarabara vya hapa na pale na ujenzi wa kota za NHC ,TBA na watumishi housing...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi Dar wakati ikiwa kama makao makuu ya nchi baada ya serikali kumaliza kujenga majengo ya wizara na taasisi zake ikiwemo BOT tuseme ndio uwekezaji wa serikali kwenye majenzi ya vitega uchumi na miundombinu iliishia pale?

Kwahiyo unadhani kama serikali imeona Dodoma ni fursa na wameamua kuwekeza resources zao hapo kuliendeleza, hao sekta binafsi wao ni wajinga hata wasione uwepo wa mazingira mazuri ya kiuwekezaji for future prosperity businesses hapo Dodoma.

Mbona mpaka waleo hao wanadar es salaam wanazidi kupewa vipaumbele katika miradi ya maana na wanamwanza hamuwagusi kwa lolote?

Itoshe kusema tu mwenye nacho ataongezewa tu, Dodoma imeshawatangulia kiufupi mtaendelea kuisoma namba hadi mwisho wa dunia.
Imetutangulia Kwa figure zipi ...[emoji1787][emoji1787][emoji1787].. Zaid ya ukame na upepo wa baridi kavu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo ni ukweli mtupu, eti leo mtu anajifanya hazitambui juhudi za Magu katika ujenzi wa Mwanza. Hata kuna wengine walipaswa wabolewe nyumba zao kwa ajili ya upanuzi wa kiwanja cha ndege lakini haku bomoa nyumba zao, yote hiyo ni kwa kuipenda Mwanza.
Ni kweli kwa maana hata daraja la busisi ni project iliyokuwa ijengwe miaka ya baadae huko mbele baada ya demand kuwa kubwa lakini mwenda zake alifosi tu kuwainua wana Mwanza kwa lazima.
 
Huo ni ukweli mtupu, eti leo mtu anajifanya hazitambui juhudi za Magu katika ujenzi wa Mwanza. Hata kuna wengine walipaswa wabolewe nyumba zao kwa ajili ya upanuzi wa kiwanja cha ndege lakini haku bomoa nyumba zao, yote hiyo ni kwa kuipenda Mwanza.
Acha siasa kijana.... faida ya kubomolewa nyumba kimara Leo si mna njia nane kwenda kibaha ... tuambie sie faida ya kutokubomolewa hizo nyumba,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Undava king, hawa ndugu wa Mwanza nadhani hawaelewi. Dodoma sasa sio size yao, uzuri wa Dodoma ni kwamba wana eneo kubwa la wazi na lipo katikati ya Jiji. Maadamu yule aliyekuwa anajenga miji hii miwili (Mwanza na Dodoma ) kwa pamoja hayupo basi uelewe kuwa Mwanza sasa ni ya kujikongoja kama miji mingine. Tambua kuwa wakati Mwanza inajengwa, jamaa aliipa miji mingine kisogo, na kweli ustawi wa miji ya Arusha na Moshi ulikuwa ya kususua..

Unataka kusema JPM ndo kaijenga Mwanza? Unajua mwanza imekuwa jiji mwaka gani? Hayati W.B.Mkapa ndo kaitangaza Mwanza kuwa jiji mwaka 2000 inawezekana mlikuwa watoto bado mkiwa kijijini kwenu huko mlipo mda huu

Kipindi hicho JPM ndo anagombea ubunge for the 1st time tena jimbo ambalo lilikuwa ni la mkoa wa Kagera (Biharamulo) kwa lugha fupi ni kwamba JPM anakuwa Mbunge tayari Mwanza ni jiji

Harafu miradi yenyewe aliyoleta JPM Mwanza inahesabika na 70% ya hiyo miradi haijakamilika bado
Meli (Mv Mwanza)
Daraja Busisi-Kigongo
Ujenzi wa jengo la Mama na mtoto
Soko mjini kati
Standi za mabasi (Nyegezi na Nyamongoo)
SGR ni mradi wa kimkakati sio wa Mwanza pekeake

Zaidi ya hapo hakuna miradi mingine ya JPM
 
Kipindi hicho JPM ndo anagombea ubunge for the 1st time tena jimbo ambalo lilikuwa ni la mkoa wa Kagera (Biharamulo) kwa lugha fupi ni kwamba JPM anakuwa Mbuge tayari Mwanza ni jiji
Mkuu kama leo mna kataa Magufuli hakuchangia chochote kwenye maendeleo ya Mwanza basi sawa. Ila fahamu tu kwamba naijua Mwanza toka mwaka 1975.
 
Mkuu kama hutaki kuelewa ama kuelimishana basi tuachie hapa; maana sasa una anza matusi na kebehi zisizo faa. Ahsante
Ko kukuambia kijana,,nimekutusi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...nyie watu wa dodoma mna matatizo... unahangaika kutetea mji ambao unastruggle.....kuanzia Nala Hadi ihumwa ni km 25...mji umekwisha kabisa na Hapo njiani kuna mapori na vichaka ... wakati wenzio kuanzia Usagara Hadi igombe ni km 43 na Hapo hamna machaka Wala mapori ni mji tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kama leo mna kataa Magufuli hakuchangia chochote kwenye maendeleo ya Mwanza basi sawa. Ila fahamu tu kwamba naijua Mwanza toka mwaka 1975.
JPM kaleta maendeleo kote usiseme mwanza tu. .
Arusha wamejengewa dual carriage,na mradi mkubwa wa maji .
Mwanza wameachiwa DARAJA na Meli
Dar ndio usiseme Kila mtaa Kuna mradi wake ...
Mbeya barabara na vyuo
Tanga Bandari na Bomba la mafuta
Dodoma Kila kitu kawapa Hadi sehemu za kulala

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unataka kusema JPM ndo kaijenga Mwanza? Unajua mwanza imekuwa jiji mwaka gani? Hayati W.B.Mkapa ndo kaitangaza Mwanza kuwa jiji mwaka 2000 inawezekana mlikuwa watoto bado mkiwa kijijini kwenu huko mlipo mda huu

Kipindi hicho JPM ndo anagombea ubunge for the 1st time tena jimbo ambalo lilikuwa ni la mkoa wa Kagera (Biharamulo) kwa lugha fupi ni kwamba JPM anakuwa Mbunge tayari Mwanza ni jiji

Harafu miradi yenyewe aliyoleta JPM Mwanza inahesabika na 70% ya hiyo miradi haijakamilika bado
Meli (Mv Mwanza)
Daraja Busisi-Kigongo
Ujenzi wa jengo la Mama na mtoto
Soko mjini kati
Standi za mabasi (Nyegezi na Nyamongoo)
SGR ni mradi wa kimkakati sio wa Mwanza pekeake

Zaidi ya hapo hakuna miradi mingine ya JPM

Aisee! Ngoja nikukumbushe fadhila kadhaa za ngosha kwa jiji la Mwanza:-
1. Kilomita za lami fupi za mijini Mwanza mlipewa nyingi tu kumaliza vumbi pale mjini na huko mitaani mfano sabasaba, nyasaka n.k.

2. Ujenzi wa terminal na jengo la mizigo, utanuzi wa run way katika airport ya mwanza

3. Ujenzi wa njia nne mjini to airport

4. Jengo jipya la taasisi ya kansa pale Bugando

5. Ujenzi wa bypass Kisesa to Usagara

6. Ujenzi wa nyumba za watumishi house

7. Ujenzi wa kiwanda kikubwa cha pharmaceutical

8. Uwekaji wa taa za barabarani na za wavukaji barabara ndani ya jiji zima

9. Ujenzi wa masoko ya dhahabu na kiwanda cha ukataji vito

10. Kipaumbele cha mikopo ya uhakika katika uwekezaji wa vituo vya mafuta kwa Mwanza ilitia fora (angalia sheli ngapi zilijengwa kwa fujo barabara ya kisesa to nyashishi)

11. Benki kuu ya Tanzania- Mwanza

12. Mradi wa kujenga tanki kubwa la maji kukamilisha ujazo unaokosekana sasa kuhudumia jiji zima (aliondoka kabla utekelezaji haujaanza) n.k
 
Ko kukuambia kijana,,nimekutusi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...nyie watu wa dodoma mna matatizo... unahangaika kutetea mji ambao unastruggle.....kuanzia Nala Hadi ihumwa ni km 25...mji umekwisha kabisa na Hapo njiani kuna mapori na vichaka ... wakati wenzio kuanzia Usagara Hadi igombe ni km 43 na Hapo hamna machaka Wala mapori ni mji tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Tunaongelea mipaka ya jiji wewe unaongelea sehemu za wilaya za Misungwi na huko Kwimba ilimradi kuchimba watu mikwara mji uonekane ni mpana kumbe hamna kitu.

Unlike mji wako huo linear uliobanwa na safu ya milima unapata wapi pumzi ya kujilinganisha na Dodoma iliyojengwa katika mfumo wa nuclear settlement na ina pande zote nne zilizojengeka na bado kuna maeneo makubwa kwa ajili ya mji kuja kutanuka hapo baadae.

Mwanza ina pande kuu tatu tu zilizojengwa zinazooneshwa na barabara zake kuu tatu yaani mjini-airport, mjini-buhongwa na mjini-nyamhongolo palipobaki ni aidha eneo la ziwa au nje ya mipaka ya eneo la jiji.
 
Aisee! Ngoja nikukumbushe fadhila kadhaa za ngosha kwa jiji la Mwanza:-
1. Kilomita za lami fupi za mijini Mwanza mlipewa nyingi tu kumaliza vumbi pale mjini na huko mitaani mfano sabasaba, nyasaka n.k.

2. Ujenzi wa terminal na jengo la mizigo, utanuzi wa run way katika airport ya mwanza

3. Ujenzi wa njia nne mjini to airport

4. Jengo jipya la taasisi ya kansa pale Bugando

5. Ujenzi wa bypass Kisesa to Usagara

6. Ujenzi wa nyumba za watumishi house

7. Ujenzi wa kiwanda kikubwa cha pharmaceutical

8. Uwekaji wa taa za barabarani na za wavukaji barabara ndani ya jiji zima

9. Ujenzi wa masoko ya dhahabu na kiwanda cha ukataji vito

10. Kipaumbele cha mikopo ya uhakika katika uwekezaji wa vituo vya mafuta kwa Mwanza ilitia fora (angalia sheli ngapi zilijengwa kwa fujo barabara ya kisesa to nyashishi)

11. Benki kuu ya Tanzania- Mwanza

12. Mradi wa kujenga tanki kubwa la maji kukamilisha ujazo unaokosekana sasa kuhudumia jiji zima (aliondoka kabla utekelezaji haujaanza) n.k
Ko hivi ndo vimefanya kuwa jiji [emoji12][emoji12][emoji12]
JPM kajenga Kila mkoà ..dar na dodoma ndo sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom