Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Picha za zamani ndio unajifariji nazo si ndio? [emoji16][emoji16]
Hiyo picha ya mwaka 2023 unasema ya zamani [emoji16][emoji16][emoji15][emoji15]....Hilo jengo la dodoma city hotel hulioni..dodoma ni jangwa [emoji1787][emoji16][emoji16]
 
Hiyo picha ya mwaka 2023 unasema ya zamani [emoji16][emoji16][emoji15][emoji15]....Hilo jengo la dodoma city hotel hulioni..dodoma ni jangwa [emoji1787][emoji16][emoji16]
Mwanza sio Jiji ni Big Slum
 
Mwanza sio Jiji ni Big Slum
Kama kawaida hutoki pale Pale [emoji16][emoji1787][emoji1787]..mji wa serikali na medeli ... Kwingine ni vumbi na jangwa [emoji1787][emoji1787]
Learn mwanza [emoji91][emoji91][emoji91][emoji116][emoji116]
 
Linapokuja suala la Mipango Miji na Barabara,Mwanza fishing Village wakae mbali kabisa na Dom..

Angalia Kwa mfano hapa

1.Outer Ring Road under construction
2.Middle Ring Road under design
3.Inner Ring Road under procurement,mda wowote ujenzi utaanza.
4.Km 270 Dual Carriage Kwa Barabara kuu zote ziko under design

Kwa miradi hiyo michache tuu,Mwanza Ina kipi Cha kujitutumua mbele ya Dom?
 
Sijaona pic ya maana naona zote n za kuunga UNGA na tugorofa uchwala labda Barbara zinazo pita maporini ndo mmejitaidi
endelea kujifariji tu 😀😀eti barabara zinazopita maporini😆😆,kama ni maporini nenda kajaribu kuanza ujenzi uone cha mtema kuni.Kwa taarifa yako Dodoma ndio Jiji pekee East and Central Africa lililopimwa na kupangiliwa mipango miji kwa zaidi ya asilimia 90. Dodoma ndio Jiji pekee ambalo ukikosea kufanya ujenzi basi ndani ya sikumbili tu wanakuja watu wa Jiji (zamani CDA) kusimamisha ujenzi
 
Wivu tuu huyo achana nae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…