Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

[emoji3590][emoji3590] mwanzahood
20230621_105144.jpg
 
Uswazi City ,Dom Kila Kona iko.poa ,Mwanza Nje ya hapa CBD ni uswazi mtupu

Yes exactly ndiomana huwezi kuona wameposti picha zaidi ya ya maeneo ya rock city mall basi😀😀ukitoa CBD the rest ni full uswazi,vichochoro vya barabara na mipango miji isiyoeleweka. Kwa Dodoma mitaa ambayo unaweza kuiita uswazi ni Chadulu,Mkalama na Chang'ombe kwa mbali lakini mitaa mingine yote imepangiliwa mipango miji+miundombinu full lami .Dodoma ndio Jiji pekee ambalo ikitokea ajali ya moto basi Zimamoto kufika na kuzima moto ni dakika chache tu kutokana na mpangilio bora wa makazi ya watu + kufikika kwa barabara za lami(CBD yote ipo full covered na barabara za kiwango cha lami)
 
Yes exactly ndiomana huwezi kuona wameposti picha zaidi ya ya maeneo ya rock city mall basi[emoji3][emoji3]ukitoa CBD the rest ni full uswazi,vichochoro vya barabara na mipango miji isiyoeleweka. Kwa Dodoma mitaa ambayo unaweza kuiita uswazi ni Chadulu,Mkalama na Chang'ombe kwa mbali lakini mitaa mingine yote imepangiliwa mipango miji+miundombinu full lami .Dodoma ndio Jiji pekee ambalo ikitokea ajali ya moto basi Zimamoto kufika na kuzima moto ni dakika chache tu kutokana na mpangilio bora wa makazi ya watu + kufikika kwa barabara za lami(CBD yote ipo full covered na barabara za kiwango cha lami)
Usiwe mgeni na thread....kama mitaa tumepost mingi sana ...na Iko miles kutoka CBD ..
 
Back
Top Bottom