Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Ukiona Mwanza imetajwa uni tag [emoji16][emoji16]

Mbeya na Mwanza hawachekani broo
Kabisa Mbeya ulinganishe na Mwanza bwana Choice

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natoa ushauri NHC wajenge nyumba hapo Dodoma na wakazi wenye uhitaji wapewe bure la sivyo sitakuwa makazi ya popo.
Kungekuwa hakuna uhitaji wasingehenga..

Watu wa Dom Wana mzunguko mkubwa wa pesa sio maskini kama Mwanza ndio maana NHC haiwezi Jenga Mwanza .
 
Kungekuwa hakuna uhitaji wasingehenga..

Watu wa Dom Wana mzunguko mkubwa wa pesa sio maskini kama Mwanza ndio maana NHC haiwezi Jenga Mwanza .
Kizio cha kupima na kujua sehemu fulani kuna mzunguko mkubwa wa pesa ni nini?
 
Screenshot_20230602-191119_1685722328256.jpg
 
GDP sio mapato ni estimates ,nazungumzia mapato yanayoshikika na kukusanywa na taasisi mbalimbali
GDP inakusanya mapato yote..itangible na tangible pamoja value estimate za bidhaa na huduma zilizozalishwa ndani ya mkoa
 
GDP sio mapato ni estimates ,nazungumzia mapato yanayoshikika na kukusanywa na taasisi mbalimbali
Tunaposema marekani ni nchi tajiri Duniani..Huwa hawaangalii government revenue wanaangalia norminal GDP au purchasing power parity
 
Kungekuwa hakuna uhitaji wasingehenga..

Watu wa Dom Wana mzunguko mkubwa wa pesa sio maskini kama Mwanza ndio maana NHC haiwezi Jenga Mwanza .
Niko Dom kwa wiki tatu sasa mji unaku Kwa Kasi Ila bado sekta binafsi ziko Chini Sana mji ukifika usiku unapooza sehemu za burudani ni chache nadhani mzunguko wa pesa nje ya Serikalini uko Chini.
Mji wa Serikali unavutia lakini hizo ni Ofisi ukiisha muda wa kazi hayana matumizi mji unapoa.
Makazi ya watu yanatakiwa kuwepo Sheria Kali za upandaji miti mji mkavu Sana kama Jagwani
 
Back
Top Bottom