ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Malls nizijuazo nyingine Dom ni pamoja na Shoppers Plaza na Capital City Mall- Kisasa. Tunaomba picha na hizo ndugu mwandishiπππKutana na wagogo sasa wakikusimulia kuhusu Mall yao mojawapoView attachment 2709919
Sent from my SM-N981U1 using JamiiForums mobile app
Key wordMalls nizijuazo nyingine Dom ni pamoja na Shoppers Plaza na Capital City Mall- Kisasa. Tunaomba picha na hizo ndugu mwandishi[emoji3][emoji3][emoji3]
UDOM-chuo kikuu cha pili kwa ukubwa Afrika .Hii rekodi itachukua zaidi ya miaka 100 mbele huko kuja kuivunjaDom is doing great View attachment 2708671View attachment 2708672
"Mojawapo" means zipo nyingi nyingine.
Speaking of the so called Shoppers... hii si kama Buzuruga Plaza π₯²"Mojawapo" means zipo nyingi nyingine.
Vp huko kwingine kuna malls ngapi ukitoa Γ¬le moja[emoji3][emoji3][emoji3]
Shoppers Plaza Dom ni mkusanyiko wa maduka makubwa ya kisasa na yako mengi sana ....watu wengi ambao hawajafika pale hufikiri labda kuna supermarket moja tu ya ShoppersSpeaking of the so called Shoppers... hii si kama Buzuruga Plaza π₯²View attachment 2709928
Sent from my SM-N981U1 using JamiiForums mobile app
Kama ni hvyo bas mwanza Kuna mall nyingiShoppers Plaza Dom ni mkusanyiko wa maduka makubwa ya kisasa na yako mengi sana ....watu wengi ambao hawajafika pale hufikiri labda kuna supermarket moja tu ya Shoppers
Only rock city mall inaqualify apo...huko kwingine ni mkusanyiko wa maduka kama ilivyo apa manzese tiptop kwenye mkusanyiko wa maduka makubwa ya jumla yasiyo na idadiππKama ni hvyo bas mwanza Kuna mall nyingi
1 rock city mall
2 central market
3.nyanza plaza
4.buzuruga plaza
5.nyerere road plaza
6.lumumba plaza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yani icho kiduka ndio mall?!Kutana na wagogo sasa wakikusimulia kuhusu Mall yao mojawapoView attachment 2709919
Sent from my SM-N981U1 using JamiiForums mobile app
Shoppers nayo ni mall?! Kweli wagogo hamna exposureMalls nizijuazo nyingine Dom ni pamoja na Shoppers Plaza na Capital City Mall- Kisasa. Tunaomba picha na hizo ndugu mwandishi[emoji3][emoji3][emoji3]
Rudi shule wewe memkwa....ππShoppers nayo ni mall?! Kweli wagogo hamna exposure
Nijibu swali Yani shoppers nayo kwenu ni mojawapo ya mall?Rudi shule wewe memkwa....[emoji116][emoji116]
plaza
/ΛplΙΛzΙ/
nounNORTH AMERICAN
1.
a public square, marketplace, or similar open space in a built-up area.
"the plaza is lively in the evenings when the pavement cafes are full"
2.
a shopping centre.