ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Unataka ulinganishe makazi ya Watumishi Mwanza is Slum na The mighty Dom? Are you insane?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio makazi sema mabanda ya kuishi serikali.... makazi yanapaswa kuwa hivi [emoji116]Unataka ulinganishe makazi ya Watumishi Mwanza is Slum na The mighty Dom? Are you insane?
Sasa hapo Kuna kipi Cha ajabu?Sio makazi sema mabanda ya kuishi serikali.... makazi yanapaswa kuwa hivi [emoji116]
Doma desert [emoji16][emoji16]View attachment 2698673
Sasa hapo Kuna kipi Cha ajabu?
Only in Dom
Mbona Hiv hupostTunaweka vitu vya maana kutoka Dom wewe unaleta mauchafu Yako ya uswazi wa Mwanza
Mwanza Airport 😁😁Mbona Hiv hupostView attachment 2698875
Dodoma ni zizi Moja ambalo ukiwa hapo mjini huwezi Toka kwenda kufanya tours kama city tour, landscape tour ,parks visit, beach visit,zoo visit, fishing tour au rock hiking...
Kidogo Arusha wapo vizuri..
Learn from mwanza
Cc Mikdde and other haters
Dom imevinyea Vimiji uchwara vya Mwanza &Arusha miradi ya uwekezaji in terms of Number and Value [emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2700571
Hizi si kila siku una post?! Halafu nani asiyejua kuwa Dar na Dom miradi mingi au project nyingi niza serikaliCc Mikdde and other haters
Dom imevinyea Vimiji uchwara vya Mwanza &Arusha miradi ya uwekezaji in terms of Number and Value [emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2700571
Ona huyu kichwa maji,TIC Ina deal na miradi ya Serikali? 🤣🤣🤣Hizi si kila siku una post?! Halafu nani asiyejua kuwa Dar na Dom miradi mingi au project nyingi niza serikali
Sema Shikamoo Dodoma [emoji91][emoji91]