NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 11,131
- 9,301
Mnakuja vyemaFire 🔥🔥🔥 moto moto wa Dom sio wa Nchi hii View attachment 2686337View attachment 2686338View attachment 2686339
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnakuja vyemaFire 🔥🔥🔥 moto moto wa Dom sio wa Nchi hii View attachment 2686337View attachment 2686338View attachment 2686339
Ya nniWapi CBE Mwanza?
Punguza kiwewe ngoja uwanja wa Kimataifa ujengweDoma desert..[emoji16][emoji16][emoji16]mwasubir msalato airport [emoji16][emoji16]View attachment 2691261
Yaani unaamini kabisa Dodoma itaizidi Mwanza wa abiria? Hivi unajua Mwanza ni second buzesty airport in Tz!Punguza kiwewe ngoja uwanja wa Kimataifa ujengwe
Toa upuuzi wako hapa, airport busy Kwa Tanzania niYaani unaamini kabisa Dodoma itaizidi Mwanza wa abiria? Hivi unajua Mwanza ni second buzesty airport in Tz!
Lakini Dodoma ndege mara nyingi zinapita sio destination [emoji41][emoji41] yaani ni Mwanza Dar via Dom au Dar Mwanza via Dom [emoji41]Toa upuuzi wako hapa, airport busy Kwa Tanzania ni
Dar
Zanzibar na
Kia
Hizo porojo zenu zingine kadanganyaneni huko vijiweni
Huna takwimu unabisha tuToa upuuzi wako hapa, airport busy Kwa Tanzania ni
Dar
Zanzibar na
Kia
Hizo porojo zenu zingine kadanganyaneni huko vijiweni
Kwani hali ya hewa Dodoma kwa sasa ipoje😀😀.Dodoma pia hali ya hewa ni ya wastani sio joto wala sio baridi haina tofauti na Mwanza.Mi ni mkazi wa Dodoma ila kiukweli mwanza ni kitu kingine, mji mzuri mnoo sio baridi Wala siyo joto hasa tukizungumzia kuhusu Hali ya hewa!!!
Ndege ipi hiyo ya Mwanza Dar via Dom....😀😀😀😀Lakini Dodoma ndege mara nyingi zinapita sio destination [emoji41][emoji41] yaani ni Mwanza Dar via Dom au Dar Mwanza via Dom [emoji41]
ATCL air bus [emoji28]Ndege ipi hiyo ya Mwanza Dar via Dom....[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ni Dom-Mwanza ,Mwanza -Dom directATCL air bus [emoji28]
Acha uongo..we mgogo wa doma desert..Ni Dom-Mwanza ,Mwanza -Dom direct
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] hata hili unataka kuweka mjadala khaaNdege ipi hiyo ya Mwanza Dar via Dom....[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Dodoma.hakuna maji 🤣🤣Stendi ya daladala ya kisasa.... endeleeni kusubiri TBA ..[emoji91][emoji91][emoji91][emoji116]View attachment 2692456View attachment 2692457
Dodoma.hakuna maji [emoji1787][emoji1787]