Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Njooni mchukue ndugu zenu huku wamezidi kuomba omba
Punguza wivu maumivu Bado 😆😆
20230426_182459.jpg

Shule ulienda kusomea ujinga au....Hilo ni kanisa au commercial mall iliyopo pembeni mwa kanisa[emoji38][emoji38]
Eti commercial mall ...[emoji16][emoji16]
Ndo maana mama hataki kukaa huko
Screenshot_20230709-095829.jpg
Screenshot_20230709-095854.jpg
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mjumbe nawakilishaView attachment 2682708
Kila Mkoa Kuna Ikulu so sijui unashangaa nini.

Pili Kwa Sasa Wageni wengi wanashukia Dar ambako Kuna airport ndio maana mda mwingi anawapokea huko..

Mwisho miundombinu yote muhimu ya Kiserikali ikija Kukamilika kutakuwa hakuna haja ya kwenda Dar,na Kwa taarifa Yako Toka Serikali imetangaza kuhamia Dom chini ya Til.4 zimeshatumika Bado zaidi ya Til.6.

Sasa kama Til.4 zimeitoa Mwanza makamasi unadhani Hadi Til.10.8 zote zitakapokuwa consumed na Dom nyie si mtakuwa ni Kijiji tuu Cha Wavivi?
 
Kama hizo trillion 4 zimeshindwa kuondoa umaskini wa kutisha uliopo huko ..then it's nonsense [emoji16][emoji16]
Screenshot_20230708-210245.jpg
 
Kama hizo trillion 4 zimeshindwa kuondoa umaskini wa kutisha uliopo huko ..then it's nonsense [emoji16][emoji16]View attachment 2683605
Hizo zinajenga Mji wa Serikali Bado kuelekezwa kwenye Jamii Moja kwa Moja hivyo multiplier effects yake sio kubwa sana..

Lakini Hadi zote kuja kutumika itakuwa imewaondoa wengi sana.
 
Kinachoiangusha Mwanza ni miundombinu ya barabara tu basi,,

Barabara za Kenyatta na Nyerere zipanuliwe angalau njia nne nne kila moja kwa angalau kilomita 50 kutoka mjini,,

Barabara za mitaani zipigwe lami zote maeneo tambarale na barabara za mawe maeneo ya milimani,,

Barabara ya kutoka uwanja wa ndege kupitia Igombe, Kayenze hadi Nyaguge,

Barabara ya kutoka kisesa hadi Usagara kwenda Kigongo daraja la JPM ipanuliwe iwe njia nne maana inaunganishwa na SGR stesheni ya Fella itakayo kuwa na bandali kavu,,

Haya pekee yakifanyika kwa ukanda huu Mwanza ni ya kubattle na Kigari Rwanda pekee sio hilo jangwa na vumbi la walima zabibu,,

IMG-20230623-WA0016.jpg
 
View attachment 2683647
Hiki kinaipendezesha au? 😁😁
images (1).jpg
IMG_20230630_143650_010.jpg
 
Kinachoiangusha Mwanza ni miundombinu ya barabara tu basi,,

Barabara za Kenyatta na Nyerere zipanuliwe angalau njia nne nne kila moja kwa angalau kilomita 50 kutoka mjini,,

Barabara za mitaani zipigwe lami zote maeneo tambarale na barabara za mawe maeneo ya milimani,,

Barabara ya kutoka uwanja wa ndege kupitia Igombe, Kayenze hadi Nyaguge,

Barabara ya kutoka kisesa hadi Usagara kwenda Kigongo daraja la JPM ipanuliwe iwe njia nne maana inaunganishwa na SGR stesheni ya Fella itakayo kuwa na bandali kavu,,

Haya pekee yakifanyika kwa ukanda huu Mwanza ni ya kubattle na Kigari Rwanda pekee sio hilo jangwa na vumbi la walima zabibu,,

View attachment 2683647
Kwa taarifayako Dodoma ndio Jiji pekee Tanzania lenye mtandao mpana wa barabara za lami.CBD yote Dodoma ipo full covered na barabara za lami.....Nashukuru umetaja kabisa changamoto ya barabara huko Mwanza hivyo ni bora useme Mwanza ndio Jiji la Vumbi😀😀
 
Kwa taarifayako Dodoma ndio Jiji pekee Tanzania lenye mtandao mpana wa barabara za lami.CBD yote Dodoma ipo full covered na barabara za lami.....Nashukuru umetaja kabisa changamoto ya barabara huko Mwanza hivyo ni bora useme Mwanza ndio Jiji la Vumbi[emoji3][emoji3]
Acha porojo ...... barabara zip Zina lami ukiacha highway,,,na barabara ya meliwa kuja wajenzi ,,bypass ya kisasa na barabara ya chang'ombe
 
Doma desert mkiona Hiv mwatamani kufa kufa [emoji16][emoji16][emoji16]
Nyamagana pitch ....[emoji91][emoji91][emoji91]
JamiiForums951801560.jpg
JamiiForums1625792062.jpg
JamiiForums333908835.jpg
 
Acha porojo ...... barabara zip Zina lami ukiacha highway,,,na barabara ya meliwa kuja wajenzi ,,bypass ya kisasa na barabara ya chang'ombe
barabara ipi ndani ya Dodoma CBD isiyo na lami....😀😀😀Dodoma ukwame wapi kila kona lami usijaribu kamwe kulinganisha mtandao mpana wa barabara za lami Dom na vichochoro vya vumbi Mwanza ambavyo havijapangiliwa mipango miji😀😀
 
Back
Top Bottom