Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Unaijua MUST au unaisikia? Hakuna Chuo hapo wewe
MUST ni veta iliyochangamka [emoji16][emoji1787][emoji16]
Kwa taarifa yako mwanza inajenga vyuo hivi
IFM kiseke
TIA Usagara
MIPANGO kisesa
Ardhi sengerema.
CBE kangaye
City university kisesa (private)
Mwanza university igoma (private)
Chuo Cha taifa Cha utalii nyamagana
 
Vi branch uchwara 🤣🤣

Eti Mwanza University 😆😆😆😆
 
Ukiona Mwanza kwenye list ni tag [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji16][emoji16][emoji16]...the so called flight link ..
yaani mtu aache kupanda atcl , precision au auric aje apande dongo kuinama hili [emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji116]
images (20) (25).jpg
 
MUST ni veta iliyochangamka [emoji16][emoji1787][emoji16]
Kwa taarifa yako mwanza inajenga vyuo hivi
IFM kiseke
TIA Usagara
MIPANGO kisesa
Ardhi sengerema.
CBE kangaye
City university kisesa (private)
Mwanza university igoma (private)
Chuo Cha taifa Cha utalii nyamagana
DIT sabasaba
 
Habari zenu wanajamvi kiufupi mi ni mgeni hapa ila hili jambo ni kama silifurahii sana, Hivi ni kwanini watanzania mmeamua kutambiana kuhusu sehemu moja dhidi ya nyingine, ukiangalia karibu 90% ya tunavyotambiana ni Government implementation ni vitu ambavyo havihamliwi na wakazi wa sehemu husika bali ni mpaka serikali ihamue,mi nafikiri tujikite katika kuleta hoja za kuikumbusha na kuishauri serikari kuhusu mambo ambayo yakifanyika mji fulani yataleta mchango mkubwa katika eneo husika, tukiendelea na mada hizi itafika mahali watu wasehemu moja watahisi wenzao wasehemu nyingine wanapendelewa zaidi kumbe hata hao tunaoona wanapendelewa nao bado wapo kwenye safari ya kujikomboa mwishowe chuki zitaanza kidogokidogo mwisho tutaingia kwenye kubaguana, Napendekeza hizi battle za majiji na miji ziishe tulete uzi za kuzikumbusha mamlaka zituletee miundombinu itakayotusukuma mbele! Naomba kuwasilisha
 
Bora urudi ulikotoka
 
ihamue❌❌
havihamliwi❌❌
Hapa watu wanafanya comparison wala hawatambiani.Hakuna kubaguana wala ukabila,wengi wanaochangia hii thread sio wenyeji halisi wapo huko kikazi na kimaisha.Kwa mfano jiji kama la Dodoma kwa sasa lina mkusanyiko wa makabila yote ya Tanzania .
 
Ni kweli ila mambo mengi yanayowekwa hapa kama evidence hayatokani na jitihada binafsi za wakazi husika either ni Geographical reason ama ni Government implementation sioni sababu ya kuwa na mijadara hii badala yake tuendelee kuikumbusha serikari kutuletea vitu tunavyohisi vikiwekwa sehemu viteleta mchango chanya kiuchumi sehemu husika na Tanzania kwa ujumla
 
New York na Los Angeles kilasiku wanalinganishwa.....Government inaplay part yake na wakazi wa majiji husika nao wanaplay part yao
 
Wale wanahaki ya kufanya vile wako decentralised kila mmoja anatumia rasirimali zake isipokuwa kwa mambo machache tu ya kitaifa tofauti na sisi vitu vipo centralised yaani kero ipo nzega Tabora itasubili maamuzi ya serikari kuu
 
Anglican Cathedral Commercial Complex soon itafunguliwa.....alafu haters wanakwambia jiji la Dodoma linajengwa na miradi ya serikali tu😀😀😀
 
Attachments

  • 20230702_112405.jpg
    20230702_112405.jpg
    635.1 KB · Views: 10
  • 20230702_112404.jpg
    20230702_112404.jpg
    603 KB · Views: 8
Back
Top Bottom