Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Pale mlugaluga wa Misungwi anapolinganisha Capital City na shombo ya Samaki 🀣🀣🀣
Capital city ya Tanzania bado inasafari, hata abuja ni ni mchumba wa kanu na Lagos, hiyo capital city imalize ligi za mchangani na wakina Tanga na Mbeya kwanza alafu ndio itunishane kifua na Ma giant.
 
Kote mavi tu, maisha yako kwa Trump huko.
 
Ukienda kwenye Mikoa inayoongoza kukusanya Kodi via TRA huwezi ikuta Geita,lakini unaweza pata picha hapa kwamba Geita pekee inakusanya zaidi ya Bil.200 Kupitia Wizara ya Madini πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/reel/CzdhThbtm0b/?igsh=MXJ0M2plZDBlYm5obw==
So Kipimo sahihi Cha Mchango wa Mkoa ni GDP Kwa sababu Tanznaia inakusanya pesa Kupitia taasisi nyingi tofauti na TRA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…