Itajaa maofisi tu lakini hakuna fursa huko.Nawakumbusha tuu watu wa Mwanza kwamba Dom haipoi Leo Wala kesho.
Ubalozi wa Malawi wamefika kukagua kiwanja chao tayari kuanza Ujenzi wa Ofisi
View: https://youtu.be/HbQcQj3-wBA?si=hDcQaN2hoL-du2lJ
Roho inakuuma sana sio? ππItajaa maofisi tu lakini hakuna fursa huko.
Tatizo unakuwa kigeugeu kama kahaba, kila siku nakuambia kipimo sahihi cha uchumi duniani kote ni GDP huwa una kaza fuvu kwasababu ya kuipinga Mwanza. GDP ndio kipimo sahihi, na Mwanza inasubiri mgodi wa Nyanzaga tujaribu kuisogolea Dar japo hatuwezi kuifikia.Ukienda kwenye Mikoa inayoongoza kukusanya Kodi via TRA huwezi ikuta Geita,lakini unaweza pata picha hapa kwamba Geita pekee inakusanya zaidi ya Bil.200 Kupitia Wizara ya Madini ππ
View: https://www.instagram.com/reel/CzdhThbtm0b/?igsh=MXJ0M2plZDBlYm5obw==
So Kipimo sahihi Cha Mchango wa Mkoa ni GDP Kwa sababu Tanznaia inakusanya pesa Kupitia taasisi nyingi tofauti na TRA.
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ Tatizo hapa Tanzania ni kwamba Kuna taasisi nyingi sana zinakusanya pesa kiasi kwamba kufanya tracing ni ngumu.Tatizo unakuwa kigeugeu kama kahaba, kila siku nakuambia kipimo sahihi cha uchumi duniani kote ni GDP huwa una kaza fuvu kwasababu ya kuipinga Mwanza. GDP ndio kipimo sahihi, na Mwanza inasubiri mgodi wa Nyanzaga tujaribu kuisogolea Dar japo hatuwezi kuifikia.
Hawa waandishi wangeacha ukanjanja,Sasa hiyo figure aliyoitaja anaijua basi? hizo ni zaidi ya trillion 1000 Sasa hilo ni Pato la Marekani tu na Tanzania labda ni Pato zima la nchi kwa miaka 100Dodoma haipoi Leo Wala kesho.
City Hospital under construction ππ
View: https://twitter.com/habarimpyatz/status/1767452428608123247?t=RP9OOW4SAuOCXBhBbs_p3Q&s=19
Halina tofauti na haka ka regional maritime rescue centreNawakumbusha tuu kwamba huu ujenzi unaendelea ni awamu ya 1,Kuna lot 4
View: https://www.instagram.com/reel/C4adhPxujl6/?igsh=MXd6bTZzeW0yaTFhdQ==View attachment 2932685View attachment 2932907View attachment 2932908View attachment 2932909
Unajifariji π€ͺπ€ͺHalina tofauti na haka ka regional maritime rescue centre
View attachment 2933194
Mwanza sio kwamba imelalaDodoma inazidi kufunga Gap la Magorofa.
6 floor building for IAA under construction ππ
View: https://twitter.com/Hakingowi/status/1767562757916836317?t=nPagg7cVu9-unS9JO9wCeQ&s=19
View: https://youtu.be/rklat9tgPvc?si=4LuVaUCztmOIg5iSView attachment 2932905View attachment 2932906
Hata haka ka AIC kamefunika hicho kibanda chenu cha dodomaUnajifariji π€ͺπ€ͺ
Mikoa ya Kanda ya Ziwa inaongoza Kwa utegemezi π€£π€£π€£π€ͺHata haka ka AIC kamefunika hicho kibanda chenu cha dodoma
View attachment 2933199View attachment 2933200
Unaijua mbeleko? Hii serikali yetu hasa hii hawana hawana muda na sisi, leo Kagame ameona soko kubwa la maziwa lipo Mwanza na kanda ya ziwa anataka kuweka kiwanda kikubwa cha maziwa Mwanza unasema mbeleko na ingekuwa li serikali lako la hawamu hii sijui ungeitaje, huo ni uwekezaji wa Rwanda ndani ya Mwanza na sio Tanzania, watu wa nje ndio wanawekeza Mwanza kwasababu wanaona mbali na wanachungulia fursa sio hili li nchi lenu, kama wangetaka kujenga kiwanda wangeweka either Pwani au Dar, Dodoma au Arusha huko ndio Tanzania, sisi wanyarwanda achani mashirika ya nchi yaje yawekeze Mwanza.