Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Huu uwanja utakua kama wa Songwe.... international jina ila flights ni local πŸ˜…
Dodoma ni Mji Mkuu flights zitakuja tuu.Kwani Abuja hakuna flights?

Case ya Songwe ni kwamba haijapata cheti Cha usalama Cha Kimataifa Ili ndege za Kimataifa ziruke.Sio lazima ziwe za abiria Bali uwanja unaweza kutumika kama Kituo Cha mapumziko
 
Angalia Jamaa wa Mwanza wanavyojifariji na Sgr πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

View: https://youtu.be/3474L5f8V-g?si=PNbbMN-ANvCwH5YW
Miradi ya Mwanza ni ya kuboost uchumi na kufungua kanda ya ziwa, daraja la jpm, meli ya MV Mwanza hapa kazi tu, SGR, via duct, masoko na stendi huo wote ni mnyororo wa kuinua uchumi, nyie arusha endeleeni kujengewa viwanja na maukumbi ya maonesho😜😜😜😜😜😜😜
 
Sgr ndio uchumi kwenye ushoroba wa kati na nchi za maziwa makuu
Ingekuwa hivyo basi Morogoro na Mbeya zingekuwa na huo uchumi maana tofauti ni speed ila reli ni zile zile 🀣🀣

Ukiniambia chagua kati ya reli au Barabara nitakwambia Barabara.
 
Dodoma naona ndio imepata master plan sisi tulishazingua miaka kumi iliyopita lakini hakuna linalofanyika kuendana na master plan, hii nchi ngumu sana.
Nyie mtaenda hivyo hivyo kama madampo.

Mwisho hivi swala la masterplan Lina shida gani? Mbeya Kuna masterplan ila hakuna anefuata πŸ˜†πŸ˜†
 
Ingekuwa hivyo basi Morogoro na Mbeya zingekuwa na huo uchumi maana tofauti ni speed ila reli ni zile zile 🀣🀣

Ukiniambia chagua kati ya reli au Barabara nitakwambia Barabara.
Reli ni muhimu sana sema ndio hivyo akili za kiafrika hazijaona matumizi sahihi ya reli na wakati sahihi na uendeshaji wa reli
 
Nyie mtaenda hivyo hivyo kama madampo.

Mwisho hivi swala la masterplan Lina shida gani? Mbeya Kuna masterplan ila hakuna anefuata πŸ˜†πŸ˜†
Shida ni viongozi wa kuteuliwa kila mtu anakuja na akili ya kula chake mapema nyie mbaki na uchafu wenu wa jiji, hii nchi ipo corrupt sana.
 
Wivu tu, mbona husemi litakavyoongeza uchumi wa Dodoma au Dar.
Kwa Dodoma inalenga kutoa service tuu na ndio maana Kuna plan ya ku integrate na light rail,commuter buses yaani BRT nk.

Huko kwenu hakuna hiyo masterplan mnakurupuka mtakachowaza asubuhi ,mbaya zaidi hakuna Cha kubeba huko Hadi iwe na maana.
 
Kwa Dodoma ni huduma lakini kwa Mwanza haina watu na bidhaa za kusafirisha, kati ya Dodoma na Mwanza wapi kuna abiria wengi?
Umesoma geography vizuri mkuu? Unajua Mwanza ni hub ya nchi ya maziwa makuu ikiwemo, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, S.Sudan na E.Congo
 
Eti abiria wengi,mna hela? Pia si mumesongamana hovyo hovyo humo kwenye ma slums ya milimani nani awajengee miundombinu ya maana?
 
Eti abiria wengi,mna hela? Pia si mumesongamana hovyo hovyo humo kwenye ma slums ya milimani nani awajengee miundombinu ya maana?
Kuna route yenye abiria wwngi kama ya Dar na Mwanza? Pesa Mwanza ndio maana kuna uchumi mkubwa na fursa nyingi za uchumi ikiwemo uvuvi, biashara, madini, viwanda, utalii , kilimo n.k
Kuhusu miundombinu ndio maana kunajengwa meli kubwa ya kisasa, barabara, SGR pamoja na uwanja wa ndege wa kimataifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…