Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Mwenzako anakuonesha man- made features ambazo zinazidi kujengwa na kuitofautisha Dodoma wewe kila siku unakuja na picha hizohizo za ZiwaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.Hizo natural features hata kwenye miji midogo ya Ziwani kwamfano Mbamba Bay,Matema Beach zipoπŸ˜†πŸ˜† .

πŸ‘‡πŸ‘‡
 
🀣🀣 Ila Mwanza mnatia aibu sana yaani Jiji la watu Mil.1 mnazidiwa Mapato na Dodoma ya juzi tuu.

Tuliwaambia huo Mji umejaa maskini mnalalamika.Kiko wapi Sasa πŸ€ͺπŸ€ͺ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…