Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Mwanza yaichakaza dodoma.. mapato ya ndani
Mwanza city council -bilioni 21
Ilemela -bilioni 17
Jumla =bilioni 39
Ilihali dodoma imekusanya bilion 37
20240501_192727.jpg
20240501_191629.jpg
 
CAG ndio ana compile taarifa za Mapato au anakagua? Kwamba Mbeya ni bln 18 na Tanga bln 13? [emoji23][emoji23]

Niliwaambia wameleta taarifa za mchongo
Acha kuota Toka usingizini ..utajikojolea .... [emoji116]
Screenshot_20240504-222341.jpg
 
Za Majiji mengine ziko wapi? Ila source Isiwe ni CAG
Kwamba CAG ni ofisi ya kitapeli na sio ofisi ya serikali...tunaposema mkaguzi wa hesabu za serikali unamaanisha ripoti zake ni za uongo ...endelea kuokoteza za kwako ambazo zinakujifariji ndani yake ila jua tu mwaka Jana ... DODOMA imechezea kichapo

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Kazi ya CAG ni kukagua sio kujumlisha Mapato.

Itawachukua Mwanza miaka 100 kufikia level hizi za Dom 👇👇
Screenshot_20240501-084355.jpg
Screenshot_20240428-075634.jpg
 
Tofautisha kati ya 5star experience na five star status .... una experience five star kwenye hotel ya nyota 3 😃😃
 
Back
Top Bottom