Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Hujajibu swali...umesema ili hoteli iwe na hadhi ya nyota tano inatakiwa iwe na parking kubwa,garden kubwa na comfortability sio ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€sasa niambie hizi hoteli za ghorofa apa Posta kwamfano Holiday Inn,Johari Rotana,Golden Tulip,New Afrika n.k parking kubwa na garden kubwa ipo wapi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Ukiweza kujibu hili swali bila kuhamisha magoli ..nalog off JF ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Ukiweza kujibu hili swali bila kuhamisha magoli ..nalog off JF [emoji3][emoji3][emoji3]
Swali Gani ...Hilo la kijinga Sina muda wa kujibu ....
Unless you bring enough evidence ya kuwa hilo chaka ni hotel ya 5star ..

Hizo hotel za posta Zina underground parking na zingine Zina elevated parking za ghorofani...

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
New ilemela porshy neighborhood
Dodoma huwezi pata watu wanajenga mansion na apartment za kifahari .ila wakija hapa wanasema DODOMA Inakua na kupendeza Kwa kasi .. kupendeza manyoya au [emoji2][emoji2][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
IMG-20240307-WA0000.jpg

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
New ilemela porshy neighborhood
Dodoma huwezi pata watu wanajenga mansion na apartment za kifahari .ila wakija hapa wanasema DODOMA Inakua na kupendeza Kwa kasi .. kupendeza manyoya au [emoji2][emoji2][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2981311

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Huko Dom ilishavuka kitambo ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/C3aT87WNUKH/?igsh=MXdkeWxxMWNkaTZveA==

View: https://www.instagram.com/p/CzG-7tyNb54/?igsh=bjZwbWFvYW4yYjQ=
 
Swali Gani ...Hilo la kijinga Sina muda wa kujibu ....
Unless you bring enough evidence ya kuwa hilo chaka ni hotel ya 5star ..

Hizo hotel za posta Zina underground parking na zingine Zina elevated parking za ghorofani...

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€Huna uwezo wa kujibu bora umekiri IQ yako ni ndogo na inawezekana hujawahi kufika Posta...eti elevated parking za ghorofani๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ hoteli kwamfano ya Golden Tulip-City Centre maghorofa pale yamebanana hiyo elevated parking itoke wapi ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Kwa hyo golden tulip na Holliday inn five star.. jitahidi kuficha ujinga wako
 
Back
Top Bottom