Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Hapo kwenye Jiji la ukweli la Mwanza nionyeshe keep left japo 3 mimi nakupa baadhi tu za Dom👇

View attachment 2082729

View attachment 2082730

View attachment 2082731

View attachment 2082732

View attachment 2082733

View attachment 2082739
Keep left kwa Mwanza ndio mahala pake sema nikutumie keep left za buswelu tu ndio zinapaswa ushindane nazo lkn sio za Mwanza, pili nimeona nabishana na mtu ambaye hajawahi kufika Mwanza, na kama ungekuwa umefika usingeuliza swali la kijinga kama ili.
 
Nami napata changamoto hiyo mkuu ningekuwa na drone camera ningetuma picha za maeneo mengi lkn namna ya kuzipata, kuna maeneo kama Nyasaka, buswelu, bwiru, isamilo, buzuruga, mkolani, etc
Hakika mkuu kama hapa nimetafuta keep left ya nyerere iliyopigwa kwa juu nimechemsha ikanibidi nichukue picha ya riberty nzima

Pia kuhusu drone ni jambo zuri sana wish nikirudi home nitachukua picha za kutosha jiji la mwanza linavitu vingi vizuri sana ila hata kwenye net hazipo mfano kuna siku nilikua mjini naenda nyasaka nikapitia njia ya sakafa,lake,mji mwema hadi kilimahewa aisee hio barabara ni nzuri sijapata kuona imekaa kishua sana la kwenye net haipo hata barabara ya sabasaba to busweru nayo haipo sijui tatizo ni nini
 
Buswelu kuna round about kubwa sana zipo mbili kuna ile ya barabara ya sabasaba kiseke adi busweru kwenda na nyamadoke na ya sasa ni kubwa na nzuri zaid ambayo ujenzi unaendele ipo hapo wilayani ilemela kwenye barabara ya kuelekea kahama karibu na mall mpya ya mtu binafsi ukipata muda utaenda ata kupiga picha tuongeze kwenya gallery yetu.
 
Aisee kumbe pale makutano ya busweru wameweka round about 2019 nilienda pale wilayani masuala ya nida walikua bado kwenye ujenzi bila shaka ule mti waliukata

Ile ya hapo wilayani nayo niliiacha ila hakukua na taratibu zozote nashukuru kama wanaiendeleza
 
Pale wilaya wamefanya mambo makubwa japo ujenzi bado unaendelea natamani kwenye hizo keep left za buswelu wangeweka bustani nzuri kama pale samaki.
 
Maneno mengi Sana ya kujitetea lakini hamna kitu.

Kutangulia sio kufika, Kwani kila aliyetangulia kuzaliwa ana mali/maisha kuliko aliyechelewa?

Nyie Mwanza Mtaendelea labda kuongoza kwa slums na idadi kubwa ya maskini nothing else..

Dom imeshawapiga knock out mtaishia kulia Lia tuu hapa.Hamna barabara za maana,hamna vyuo vya maana,hamna mzunguko wa pesa wa maana,mnaishi kwenye slums.

Imagine infrastructure za Dom nyingi hazijakamilka lakini mnakimbizwa sipati picha ikikamilika.
mifano ipo mingi sana mgogo hata mm pia nina mifano yangu, wewebumezaliwa na wazazi wako bado mtoto mdogo, unakula na kulala kwa wazazi wako....mimi pia mtoto mdogo lakin kwa wakati huo najitegemea, nimepanga chumba kwamaana kwamba nalipa kodi na kula nakula kwa kujitegemea, sina kitu chochote zaid ya chumba yaan hata kitanda sina....jeh! unaweza uka battle na mimi? kwaiyo niliyetangulia nimetangulia tu
 
Posta keep left

Nimegundua jiji letu la mwanza halina picha kabisa nimehangaika sana kuzipata hizi.. round about nyingi hata mtandaoni hazimo hiii ni changamoto halafu wengi hatupo mwanza so zinapokuja battle kama inakua ni changamoto kweli kweli kuwanyoosha hawa haters mfano keep left za kitangiri,airport na busweru wilayani kwa chini kama unaelekea kahama hazipo hata mtandaoni View attachment 2082771
uyu jamaa ukwel anaujua sema anahitaji comment nyingi kwenye bandiko lake
 
Hakika mkuu kama hapa nimetafuta keep left ya nyerere iliyopigwa kwa juu nimechemsha ikanibidi nichukue picha ya riberty nzima

Pia kuhusu drone ni jambo zuri sana wish nikirudi home nitachukua picha za kutosha jiji la mwanza linavitu vingi vizuri sana ila hata kwenye net hazipo mfano kuna siku nilikua mjini naenda nyasaka nikapitia njia ya sakafa,lake,mji mwema hadi kilimahewa aisee hio barabara ni nzuri sijapata kuona imekaa kishua sana la kwenye net haipo hata barabara ya sabasaba to busweru nayo haipo sijui tatizo ni nini
Nyasaka wana barabara nzuri sn, pamoja na kilimahewa adi mji mwema na ile ya isamilo adi mji mwema utazan upo baverry hill huko USA.
 
Hakika mkuu kama hapa nimetafuta keep left ya nyerere iliyopigwa kwa juu nimechemsha ikanibidi nichukue picha ya riberty nzima

Pia kuhusu drone ni jambo zuri sana wish nikirudi home nitachukua picha za kutosha jiji la mwanza linavitu vingi vizuri sana ila hata kwenye net hazipo mfano kuna siku nilikua mjini naenda nyasaka nikapitia njia ya sakafa,lake,mji mwema hadi kilimahewa aisee hio barabara ni nzuri sijapata kuona imekaa kishua sana la kwenye net haipo hata barabara ya sabasaba to busweru nayo haipo sijui tatizo ni nini
zingepatikana hizo ingekuwa poa sana maana sasa hv vimji vinavyokuwa kupitia mabakuli ya serikali vyote vinataka ku battle na mwanza....sasa kama dodoma jaman nayo ya ku battle na mwanza? hv tumewakosea nn hawa wagogo kwann wasijishindanishe na mbeya au tanga? wanatia hasira sana hawa...Arusha wana battle na mwanza......dodoma wana battle na mwanza....kwani mwanza kuna nn?
 
Huyo jamaa hopeless kabisa hakuna anachojua zaid y a ubishi
Huyo jamaa yeye ni mtu wa njombe lkn kila post inyohusu Mwanza lazima aje haipondee ata ww ukianzisha uzi wa Mwanza vs Tandahimba lazim atakuja na kusema Tandahimba ni zaid na atatuma zile report za 2012 zikionesha mwanza ni mkoa masikini tena hatakuwa anairudia hiyo post mara mia moja, huyoa ndio opportunity cost sasa hivi anajiita sijui sunk cost fallacy.
 
zingepatikana hizo ingekuwa poa sana maana sasa hv vimji vinavyokuwa kupitia mabakuli ya serikali vyote vinataka ku battle na mwanza....sasa kama dodoma jaman nayo ya ku battle na mwanza? hv tumewakosea nn hawa wagogo kwann wasijishindanishe na mbeya au tanga? wanatia hasira sana hawa...Arusha wana battle na mwanza......dodoma wana battle na mwanza....kwani mwanza kuna nn?
Tatizo tuna upungufu wa picha itabidi niongee na mr drone camera japo na yeye kapotea sn.
 
Buswelu kuna round about kubwa sana zipo mbili kuna ile ya barabara ya sabasaba kiseke adi busweru kwenda na nyamadoke na ya sasa ni kubwa na nzuri zaid ambayo ujenzi unaendele ipo hapo wilayani ilemela kwenye barabara ya kuelekea kahama karibu na mall mpya ya mtu binafsi ukipata muda utaenda ata kupiga picha tuongeze kwenya gallery yetu.
mwenye access ya kuvipata afanya hivyo maana kuna watu wanatia hasira sana umu majukwaan
 
Huyo jamaa yeye ni mtu wa njombe lkn kila post inyohusu Mwanza lazima aje haipondee ata ww ukianzisha uzi wa Mwanza vs Tandahimba lazim atakuja na kusema Tandahimba ni zaid na atatuma zile report za 2012 zikionesha mwanza ni mkoa masikini tena hatakuwa anairudia hiyo post mara mia moja, huyoa ndio opportunity cost sasa hivi anajiita sijui sunk cost fallacy.
Chuki zitamuua
 
zingepatikana hizo ingekuwa poa sana maana sasa hv vimji vinavyokuwa kupitia mabakuli ya serikali vyote vinataka ku battle na mwanza....sasa kama dodoma jaman nayo ya ku battle na mwanza? hv tumewakosea nn hawa wagogo kwann wasijishindanishe na mbeya au tanga? wanatia hasira sana hawa...Arusha wana battle na mwanza......dodoma wana battle na mwanza....kwani mwanza kuna nn?
Wanatuchukulia poa sana ila tutawanyoosha
 
Back
Top Bottom