Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Unaumia na utaumia sana na bado daraja na sgr πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Niumie Kwa sababu mnamiliki mabanda ya nguruwe? 😁😁😁😁

Mbeya imekuwa na reli kabla yenu Tazara na inafanyiwa upya renovation Sasa sijui mna kipi Cha kulingishia πŸ€£πŸ˜‚
 
Niumie Kwa sababu mnamiliki mabanda ya nguruwe? 😁😁😁😁

Mbeya imekuwa na reli kabla yenu Tazara na inafanyiwa upya renovation Sasa sijui mna kipi Cha kulingishia πŸ€£πŸ˜‚
Sio ya umeme ni marekebisho ya kawaida sana sie tumewazidi nyumba za ghorofa na maeneo mengi ya kishua uzuri mbeya naijua nje ndani mji una mabanda hadi city centre πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Niumie Kwa sababu mnamiliki mabanda ya nguruwe? 😁😁😁😁

Mbeya imekuwa na reli kabla yenu Tazara na inafanyiwa upya renovation Sasa sijui mna kipi Cha kulingishia πŸ€£πŸ˜‚
Aibu naiona Mimi πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ unatia huruma
 
Pole sana mwanza Kuna mgodi mpya utafunguliwa wa nyanzaga aiseee ni mgodi mkubwa kupita hata huo wa Geita
Migodi wa mzungu wewe nyumbu wa milimani huko Mwanza utakusaidia nini? πŸ˜‚πŸ˜‚

Kwa taarifa Yako tuu Kwa Sasa Soko la Madini la Chunya ndio linaongoza Tanzania na pia ndiko Kuna wachimbaji wengi wadogo.

Mkondo una Mali Wilaya 3 ,haziishi Leo Wala kesho
 
Eti mgodi wa mzungu huna akili 🀣 🀣 🀣 🀣 njoo huku uone maajabu ya wachimbaji wanavyotoboa we zwazwa huku ni kimya kimya tu hatuna kelele 🀣 🀣 🀣 🀣
 
Eti mgodi wa mzungu huna akili 🀣 🀣 🀣 🀣 njoo huku uone maajabu ya wachimbaji wanavyotoboa we zwazwa huku ni kimya kimya tu hatuna kelele 🀣 🀣 🀣 🀣
Maajabu yapi? Baada ya Laiser ,msigwa wa pili
 
Kanda ya Ziwa isingeingoza Kwa Umaskini, Kiongozi wenu Mkuu wa kupeperusha bendera akiwa Kagera

Kanda ya Ziwa isingeingoza Kwa Umaskini, Kiongozi wenu Mkuu wa kupeperusha bendera akiwa Kagera.
Mwanza mkoa wa pili Kwa mapato Tanzania unauita maskini pia mkoa wa pili Kwa safari za anga za ndani unauita maskini acha wivu wa kike wewe utasutwa πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Mwanza mkoa wa pili Kwa mapato Tanzania unauita maskini pia mkoa wa pili Kwa safari za anga za ndani unauita maskini acha wivu wa kike wewe utasutwa πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Mwanza ikiwa ya pili Kwa Mapato Arusha itakuwa ya ngapi?

GDP sio Mapato
 
Haka ni Ka Campus tena Kako huko maporini Sengerema ,Dom ni Chuo Kamili .
Kwani ni Sheria campus kuzidiwa na unachokiita chuo kamili kwanza kimwonekano hata render zenyewe zinafanana fanana acha chuki za kijinga πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…